WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

So long Wikipedia ni chanzo cha habari, ni vema tukaitumia then analysis tukaifanya kwa mtazamo wetu. By the way, nampongeza Hot Lady kwa kulibaini hili. Hakika Lowasa hana thamani tena

Wikipedia sio chanzo cha habari ndio maana hata university hawaikubali kama reference
 
hao Wikipedia wamejiandikisha bvr? tuliojiandikisha tutampa kura lowasa mchafueni muwezavyo lisu jiki mbowe omo marando maji atasafishika tu
 
Huyu ndo theank tank wa CCM hawa hawa ndo wamepatia degree zao tena wakiwa above 40 through WIKIPEDIA
 
Weekpedia Angalia kuna option ya kuedit utakacho, Hivyo usimpime mtu kwa kutumia Weekpedia
CCM bado walimpenda na ndiyo maana walimwacha,
baada ya kutoka sasa wananyanyua midomo juu kuwa fisadi
Wengine kina Chenge hawaonekani sababu wapo CCM kwa walezi wa mafisadi
 
From Wikipedia, the free encyclopedia



This article's factual accuracy is disputed. Please help to ensure that disputed statements are reliably sourced. See the relevant discussion on the talk page.
40px-Ambox_important.svg.png

This biographical article needs additional citations for verification. Please help by adding reliable sources. Contentious material about living persons that is unsourced or poorly sourced must be removed immediately, especially if potentially libelous or harmful. (July 2015)
 
Hata ukitaka kumsifia mchepuko wako kwa shughuli zake unaweza kumweka Wikipedia.
Huo ni sawa na ukurasa wa facebook ukiwa na account unakukuluka utakavyo.

Hizi ni propaganda za kitoto na zinamdhalilisha muanzisha Uzi yaani anaenda wikipedia ana edit mambo anayotaka kisha anatulea jf eti Wikipedia wamkaanga Lowassa huo ni utoto. Toka lini wikipedia ni reliable source of information? sipo tayari kuikana akili yangu kwa upuuzi wa aina hii! Hivi unadhani jf kuna watu wenye uelewa wa chini kiasi hicho?
 
Kwa taatifa yako hao wazungu wanakuhesabu ww ni ukoo wa NYANI
Sasa wee endelea kuwaamini kwa kila kitu hao wazungu

Sasa mbona huyo huyo lowassa kila leo anaenda kutibiwa na hao wazungu, jee unaimani na matibabu wanayompa?
 
Uzi wa kipuuzi ambao hauna authentic information. Hii inayoitwa wikipedia mtu yeyote anaweza kuandika. Na huyu aliyeanfika alikuwa Na jukumu moja Tu la kumchafua Eddo.

Kwenye uwandishi uliotukuka tunaandika hasi Na chanya (+ve and -ve), sasa hii inayoitwa wikipedia wameanfika negative side Tu ya Lowassa, Ina maana yeye hana jema hats moja????
 
Hizi ni screenshots za hiyo wikipedia page kabla na baada ya kuondoka CCM. Za kuambiwa changanya na zako.
 

Attachments

  • 1439405532989.jpg
    1439405532989.jpg
    75.2 KB · Views: 202
  • 1439405545911.jpg
    1439405545911.jpg
    78.7 KB · Views: 195
Pole sana mleta mada kwa kuweweseka unajua kwa nini duniani wanafunzi wanakataliwa kutumia wikipedia kama chanzo cha habari ni kwa sababu wikipedia ni chanzo huru MTU yoyote anaweza kuweka habari ziwe za kweli au uongo kwa hiyo acha kusingizia wazungu Lumumba mnaweweseka sena mwaka huu ccm ndio mwisho wenu
 
Back
Top Bottom