Wikileaks na balali

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
nimepata faraja kwa mtandao wa wikileaks kuonyesha ni jinsi gani serikali anavyokumbatia watuhumiwa wakuu wa rushwa na kikwete kutokuwa na dhamira ya kupigana na rushwa.
hivi hakuna taarifa kutoka wikileaks zinazoonyesha balali alipo?huyu naye ni kiungo muhimu ktk suala zima la rushwa hapa tz,hivi kweli hatuwezi kupata taarifa za kuweza kuendelea kutufumbua sisi taifa la wadanganyika?
 
Kila jambo na wakati wake mpwa, taratibu tu yote yatakuja kuwekwa hadharani
 
May be we should ask ourselves of all LEAKS pronounced have we seen any leaks from inside US, you probably get leaks about US in afghan, Iraq etc. It is probably a trap for you to send your own leaks ili mjianike!!! WAO WANAWACHEKA TU.
 
siitaji wikileaks kwa swala la balali.
-Mkristu afe mwili wake Uchomwe?
-Mtu afe maiti yake isionwe hata na familia?
-
-
-
-
I have the answer already, I dont need wikileaks for this!!
 
siitaji wikileaks kwa swala la balali.
-Mkristu afe mwili wake Uchomwe?
-Mtu afe maiti yake isionwe hata na familia?
-
-

-
-
I have the answer already, I dont need wikileaks for this!!

Lol!!
Mkuu ulipotelea wapi?
nIPE STORY ZA IR!
 
Hata kama ukiambiwa balali huyu hapa utafanya nini? Mbona mwenye kagoda unamuona kila siku na hafanywi kitu......why do you need "leaks" while we are leaking already?!
 
Kweli kabisa, anataka kumwono presumed dead wakati aliye hai (Kgd) karibu naye hamjui kwa kumtambua kwa macho?
 
Tatizo la Balali ni gumu kulitatua kwa sababu huenda Alifanyika surgery to change his appearance, na akapatiwa vitambulisho vingine na jina lingine. Kwa hiyo atakuwepo somewhere akifurahia ''matunda'' ya kazi yake. Kumpata itakua ngumu sana kwasababu wanaojua sura yake ya sasa ni wachache mno ambao hawataki aonekane.
 
siitaji wikileaks kwa swala la balali.
-mkristu afe mwili wake uchomwe?
-mtu afe maiti yake isionwe hata na familia?
-
-
-
-
i have the answer already, i dont need wikileaks for this!!

mkuu hapo hata mimi sihitaji wiki leaks waniambie kama balali is dead or alive
 
Hivi wanaotuhumiwa hapa nchini wako wapi vile!
Ndo hao wabunge?? Wamechukuliwa hatua gani??
Nchi hii bwana! Inawenyewe!
 
siitaji wikileaks kwa swala la balali.
-mkristu afe mwili wake uchomwe?
-mtu afe maiti yake isionwe hata na familia?
-
-
-
-
i have the answer already, i dont need wikileaks for this!!
mlachake wewe ndo umeniambia siihitaji ushahidi mwingine!
 
Kuna mambo mengi hayahitaji Wikileakas.Hivi nani aliwahi kufa mazishi yake yasieleweke?Ni mjinga tu ndiye atasadiki.Balali ni mzima na nadhani safari hizi za JK huko US watakuwa wanakutana na kugonga mvinyo.
 
mungu mkubwa hata wikileaks ya madudu ya ccm ktk uchaguzi huu uliopita yatakuwa wazi muda si mrefu,
nchi ya kichaa chini ya mfalme juha
 
nimepata faraja kwa mtandao wa wikileaks kuonyesha ni jinsi gani serikali anavyokumbatia watuhumiwa wakuu wa rushwa na kikwete kutokuwa na dhamira ya kupigana na rushwa.
hivi hakuna taarifa kutoka wikileaks zinazoonyesha balali alipo?huyu naye ni kiungo muhimu ktk suala zima la rushwa hapa tz,hivi kweli hatuwezi kupata taarifa za kuweza kuendelea kutufumbua sisi taifa la wadanganyika?

I dont belong to any gossiping club but Balali yu hai kaka.

Siri kubwa kaka. It's a TZ-US trade-off!

George W Bush alikaa Bongo siku 4, unadhani bure hiyo kaka???
 
Back
Top Bottom