Wiki Moja Sasa Bila Local Channels:Je TBC1 imekuvutia?

Unajua hawa wamiliki wa local channel wanatafuta huruma wasiyostahili. Hivi zamani zile gharama za kusimika na kuendsha minara ya kurusha matangazo si kila mtu alikuwa anajigharamia mwenyewe? Sasa leo hizo gharama za kurusha matangazo hawataki kuzilipa kwanini? Miaka 8 hizo gharama tumebebeshwa walaji wao wakaona ndio sheria, kumbe walikuwa wanafanyiwa fadhila, leo sheria imechukua mkondo,wawalipe Startimes, Continental na Ting ili warushiwe matangazo yao, kwani hao ndio wenye leseni za kurusha FTA channels. Vinginevyo waendelee tu kula vumbi.

Sasa wateja wa DSTV na Azam hawatakaa wazione tena hizo local channels? Je nini kinafuata? wateja wa Dstv na Azam wafanye nini kupata local channels bila kuongeza gharama? Ahsante
 
Ivii kuna watu serikalini wamemiss zile enzi za Ukoloni?? Mbona kama tunarudi kule kwa zamani!.... maana channel moja nasikia na line moja mwisho tutaambiwa gari moja moja nyumba moja moja mtoto mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam kumbe walikuwa wanawatapeli wateja wao dah

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawatapeli kivipi? Ile ni commercial tv station,serikali inasema warushe matangazo bure kwa tv za ndani walipogoma ndiyo wakazushiwa la kutokuwa na leseni,kumbuka Tbc yenyewe inaendeshwa kwa kodi zetu na startimes wana undugu na serikali ya ccm!
 
Siku hizi saa mbili usiku siizingatii kabisa Kwasababu najua hakuna taarifa ya habari.
TCRA irekebishe mkataba na sheria za urushaji local channels ili warusha matangazo wote waweze rusha; na TCRA wanaweza tumia kanuni mpya ambayo itasaidia kujiingizia kipato zaidi kwa mfano kuweka kodi kubwa kwa DSTV na Azam kama wataamua kurusha local channels na sio ukilitimba wa kuzuia kisa eti sheria hairuhusu!!! Mambo ya hovyo sana haya. Sasa hivi ni biashara huria huwezi weka limitations za kizandiki kama hizo ila unaweza tumia challenges kama hizo as an opportunity. Wasomi wetu hapo TCRA naona viatu tulivyowapa haviwatoshi!!! Muondoke hapo kama kazi imewazidi uwezo!!! Shubamiit!!!
 
Ivii kuna watu serikalini wamemiss zile enzi za Ukoloni?? Mbona kama tunarudi kule kwa zamani!.... maana channel moja nasikia na line moja mwisho tutaambiwa gari moja moja nyumba moja moja mtoto mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakifikia hatua ya kusema mwanaume mmoja mke mmoja watakuwa wanatafuta ugomvi na magufuli
 
Unajua hawa wamiliki wa local channel wanatafuta huruma wasiyostahili. Hivi zamani zile gharama za kusimika na kuendsha minara ya kurusha matangazo si kila mtu alikuwa anajigharamia mwenyewe? Sasa leo hizo gharama za kurusha matangazo hawataki kuzilipa kwanini? Miaka 8 hizo gharama tumebebeshwa walaji wao wakaona ndio sheria, kumbe walikuwa wanafanyiwa fadhila, leo sheria imechukua mkondo,wawalipe Startimes, Continental na Ting ili warushiwe matangazo yao, kwani hao ndio wenye leseni za kurusha FTA channels. Vinginevyo waendelee tu kula vumbi.
Utadhani wao peke yao ndio wanaoumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom