Kifurushi changu kimeisha na kuna channels za hapa Tanzania nazo wameziondoa

successiful dreamer

Senior Member
Sep 10, 2019
103
189
Habari yenu wanajamvi? Natumaini mnaendelea vyema na juhudi za kujitafutia mkate wa kila siku.

Kinachonileta mbele yenu ni hawa Dstv nimeshindwa kuwaelewa. Kifurushi changu kimeisha na kuna channels za hapa Tanzania nazo wameziondoa. Channels zilizoondolewa ni Star Tv, Wasafi Tv, Tanzania Safari Channel na Tv E. Channels walizobakiza ni Tbc1, Itv, Eatv, Chnnel Ten na Upendo Tv.

Ambacho kinanipa ukakasi hizo channels walizoziondoa siyo local channels na wanatumia kigezo gani kuziondoa?

Mwenye kujua sababu au anayeumizwa na hili jambo karibu uchangie chochote.
 
Wasafi Tv na Tv E, sio channels za Bure mkuu, Tanzania safari Channel Kwa DSTV sio channel ya Bure pia, Ila Azam na Startimes utaipata free kabisa hiyo Tanzania Safari Channel

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Habari yenu wanajamvi? Natumaini mnaendelea vyema na juhudi za kujitafutia mkate wa kila siku.

Kinachonileta mbele yenu ni hawa Dstv nimeshindwa kuwaelewa. Kifurushi changu kimeisha na kuna channels za hapa Tanzania nazo wameziondoa. Channels zilizoondolewa ni Star Tv, Wasafi Tv, Tanzania Safari Channel na Tv E. Channels walizobakiza ni Tbc1, Itv, Eatv, Chnnel Ten na Upendo Tv.

Ambacho kinanipa ukakasi hizo channels walizoziondoa siyo local channels na wanatumia kigezo gani kuziondoa?

Mwenye kujua sababu au anayeumizwa na hili jambo karibu uchangie chochote.
Mwanaume kulilia wasafi na TV E ni umama wa wazi huo

USSR
 
Back
Top Bottom