Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
Mambo yakiwa systematic sana sometimes yanaboa sana sana, wakati mwingine ni muhimu kupitia mambo ambayo hujayazoea kabisa ili mambo yawe muswano
amen.n that plays both kwa wanawake na wanaume
Mambo yakiwa systematic sana sometimes yanaboa sana sana, wakati mwingine ni muhimu kupitia mambo ambayo hujayazoea kabisa ili mambo yawe muswano
kwaiyo iyo starehe ata starehe ata BBC aisikiliz?
hujambo?
upoo?
nikiwa na wewe bbc ya nini?????
ya taarifa ya habari...
upoo lakini...????
habari zimejaa kila sehemu.bbc,cnn,itv tbc
too much news..
hujambo lakini?
Wanaongoza kwa kusoma magazeti ya udaku, wanaongoza kwa kupenda kuangalia ze komedi, futuhi, majuto nk. Wanamshangaa mtu anayenunua na kusoma raia mwema, rai, mwanahalisi, mwananchi nk.
Hawapendi kuangalia taarifa za habari kwenye TV CNN, BBC, Skynews kwao ni kituo cha polisi. Wanapenda movie za kipuuzi za akina kanumba, wanapenda tamthiliya za kipuuzi za Amerika ya kusini na Ufilipino zilizojaa kwenye televisheni zetu za kichovu.
Wanapenda nyimbo za kichovu za bongo fleva kama mpenzi jini, kidato kimoja. Huwakuti kwenye makongamano serious kama ya kujadili katiba, Azimio la Arusha na utawala bora lakini wanajaa kwenye makongamano ya kuwatambulisha akina p-square.
Wanapenda sana kula chips mayai, non serious food, Hawampendi Slaa, wanampenda Kikwete may be because hayupo serious. Hawapendi masomo ya Sayansi but wanapenda sana na kufaulu topic ya reproduction ya form 3.
Wanapendelewa bungeni and hawapendi kupambana majimboni.
Ukija jf wengi utawakuta kwenye majukwaa ya udaku na mapenzi, jukwaa la sSasa na International ni wa kuwahesabu...etc
Halafu eti wanataka usawa.
NIMEKUWA NIKIJIULIZA SANA WHY WANAWAKE HAWAPENDI YALE MAMBO SERIOUS?

That is why I admire you....! Wewe ni mkweli daima, for sure I like a such woman like you ....!Wanawake ndio tuliompigia kura JK kwa kigezo cha sura ya kuuza.......upuuzi gani huu.
Wengi wanapenda Cherekochereko ya Tbc, ukimzui patachimbika