Why Mlimani Tv, not ITV, TBC?

Watanzania bwana wanakimbilia kujadili hijabu na kuacha kujadili mambo ya msingi kama vile kupanda kwa gharama za umeme, bidhaa, na mengineyo what a cripple mind
 
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari nyengine
lkn baadhi ya tv hawaruhusiwi. na hii kutoruhsu uvaaji wa vazi la lazima kwa akina dada wetu wa kiiislam kunaifanya baadhi ya akdada wenye imani ya kweli na dini yao wanashindwa kujiunga na tv hizo huku wakiwa na sifa zao za utangazaji . kwa mfano niliwahi kusoma ktk moja ya gazeti kwamba Sakina dotto alikata kujiunga na Itv baada ya kukuataliwa kuvaa hijab akiwa Online.na wapo wengi tu ambao kwao hijab ni lazima lakina wanasifa zote za kutangaza.
Huku tukiwa tunapigania haki za wanawake Tanzania, yaani wawe huru bila ya kuvunja sheria, vyombo vya habri vikiwa mbele kutetea uhuru wa wanawake,yaani uhuru wa wanawake na kutowanyanyaswa .
Mbona mlimani tv inawezekana na huku Itv, star tv,Tbc haiwezekani? au mlimani tv ni ya waislam?
HIVI VYOMBO VYA HABARI VYETU HAVIONI UMUHIMU HUU HASA TUKIZINGATIA KWAMBA HUU NI WAKATI WA UTANDAWAZI?

Muhogomchungu its very simple nenda ITV iliyoko Mikocheni industrial area kamuulize MD wake ambaye ni JOYCE MHAVILLE au MMILIKI wake ambaye ni REGINALD MENGI waulize ni kwanini nafikiri watakupa jibu.

Au nenda TBC onana na acting DG wa pale JOE RUGARABAMU umuulize ni kwanini naye atakupa jibu.
 
Watanzania bwana wanakimbilia kujadili hijabu na kuacha kujadili mambo ya msingi kama vile kupanda kwa gharama za umeme, bidhaa, na mengineyo what a cripple mind

mkuu... i bet to my last penny...... he is not a true Tanzanian citizen
 
muhogomchungu its very simple nenda itv iliyoko mikocheni industrial area kamuulize md wake ambaye ni joyce mhaville au mmiliki wake ambaye ni reginald mengi waulize ni kwanini nafikiri watakupa jibu.

Au nenda tbc onana na acting dg wa pale joe rugarabamu umuulize ni kwanini naye atakupa jibu.
kama ni hivyo, jf ifungwe tu, kwani ofisi za ccm, chadema zinajulikana. Lkn hamna anaenda kuuliza huko, hoja zinakuja hapa. Badili mwelekeo
 
watanzania bwana wanakimbilia kujadili hijabu na kuacha kujadili mambo ya msingi kama vile kupanda kwa gharama za umeme, bidhaa, na mengineyo what a cripple mind

duh, yaani kila mmoja unataka uwe na mtizamo kama wako? Tz ni zaidi ya mill 40.
Jee nini utandawazi? Yaani kama hijab imekuwa tatizo nini hasa hii maana ya haki za wanawake?
 
kama ni hivyo, jf ifungwe tu, kwani ofisi za ccm, chadema zinajulikana. Lkn hamna anaenda kuuliza huko, hoja zinakuja hapa. Badili mwelekeo

Wewe ndio ubadili mwelekeo na uaache kuuliza petty things what do you expect do you think people will feel sorry for you otherwise its just another erinaceous finnimbrun tyrotoxism
 
Wale wadada ni wazanzibari, waache waendelee tu kuvaa, hakuna shida. Ila kwa TV inayoendeshwa kibiashara zaidi hijabu hairuhusiwi!
 
sio hoja ya msingi. Hata katika uislam kuna wanafiki ambao mungu amesema atawaadhibu. Kwa hivyo swala la hijab ni swala la lazima kwa mwanamke, asiotaka kuvaa ni shauri yake lkn haimanishi kwamba na wale wanaotaka kuvaa kusingizia vigezo visivyomaana. Tuwape wanawake haki yao kama kweli tunataka kuwapa

NAOMBA KUTOFAUTIANA NAWE BILA KUPIGANA KATIKA HILI......NIZUNGUMZIACHO MIMI NI WALE VIMBELEMBELE WANAOTAKA KUVAA HIJABU MBELE YA TV.....MASHULENI...NA MAGAZETINI........ilhali maisha yao si ya hijabu......na wako radhi kuandamana na kulaamika JF kwamba tbc na itv zinawakataza kuvaa hijabu wakati hutukuwahi kuwaona wakivaa hata siku moja....NAOMBA NIKUTE MFANO...!
HAWA GHASIA...muda wote huvaa hijabu.....huyu azuiwapo kuvaa hijabu MIMI MAHESABU NITAMSAIDIA KUANDAMANA KUTOKA KODONGO CHEKUNDU HADI MSIKITI WA MTAMBANI
ZAINABU KAWAWA,SHY ROSE BHANJI,SOPHIA SIMBA,ASHA ROSE MIGIRO......hawa sasa wakilazimisha(KAMA MADA ILIVYO).....HATUNA BUDI KUPINGA NA KUKATAA KATUKATU KWANI WATAKUWA WANAINGIZA "UDINI"..... Maana nywele zao twazijua na misuko yao pia........LAKINI SI KWA HAWA GHASIA.....SIJAWAHI ONA UNYWELE WAKE MMOJA .......
NADHANI NIMEELEWEKA MWALIMU MIMI...!
 
duh, yaani kila mmoja unataka uwe na mtizamo kama wako? Tz ni zaidi ya mill 40.
Jee nini utandawazi? Yaani kama hijab imekuwa tatizo nini hasa hii maana ya haki za wanawake?

Hilo la hijab ni tatizo kwako ndio maana unaliongelea wewe mwenyewe otherwise i don't see any point here its just another pronk phenakism
 
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari nyengine
lkn baadhi ya tv hawaruhusiwi. na hii kutoruhsu uvaaji wa vazi la lazima kwa akina dada wetu wa kiiislam kunaifanya baadhi ya akdada wenye imani ya kweli na dini yao wanashindwa kujiunga na tv hizo huku wakiwa na sifa zao za utangazaji . kwa mfano niliwahi kusoma ktk moja ya gazeti kwamba Sakina dotto alikata kujiunga na Itv baada ya kukuataliwa kuvaa hijab akiwa Online.na wapo wengi tu ambao kwao hijab ni lazima lakina wanasifa zote za kutangaza.
Huku tukiwa tunapigania haki za wanawake Tanzania, yaani wawe huru bila ya kuvunja sheria, vyombo vya habri vikiwa mbele kutetea uhuru wa wanawake,yaani uhuru wa wanawake na kutowanyanyaswa .
Mbona mlimani tv inawezekana na huku Itv, star tv,Tbc haiwezekani? au mlimani tv ni ya waislam?
HIVI VYOMBO VYA HABARI VYETU HAVIONI UMUHIMU HUU HASA TUKIZINGATIA KWAMBA HUU NI WAKATI WA UTANDAWAZI?

Dah mshikaji sasa naona unataka kupitiliza kwa uongo. Sakina Datoo alikuwa ITV na alikuwa anavaa hijab yake. Hata alipokwenda kutangaza mkutano wa SULLIVAN Arusha alikuwa amevaa hijab yake na wote tulimuona. Uwe unatafuta taarifa za kutosha kabla ya kumpoint mtu mkuu.
 
NAOMBA KUTOFAUTIANA NAWE BILA KUPIGANA KATIKA HILI......NIZUNGUMZIACHO MIMI NI WALE VIMBELEMBELE WANAOTAKA KUVAA HIJABU MBELE YA TV.....MASHULENI...NA MAGAZETINI........ilhali maisha yao si ya hijabu......na wako radhi kuandamana na kulaamika JF kwamba tbc na itv zinawakataza kuvaa hijabu wakati hutukuwahi kuwaona wakivaa hata siku moja....NAOMBA NIKUTE MFANO...!
HAWA GHASIA...muda wote huvaa hijabu.....huyu azuiwapo kuvaa hijabu MIMI MAHESABU NITAMSAIDIA KUANDAMANA KUTOKA KODONGO CHEKUNDU HADI MSIKITI WA MTAMBANI
ZAINABU KAWAWA,SHY ROSE BHANJI,SOPHIA SIMBA,ASHA ROSE MIGIRO......hawa sasa wakilazimisha(KAMA MADA ILIVYO).....HATUNA BUDI KUPINGA NA KUKATAA KATUKATU KWANI WATAKUWA WANAINGIZA "UDINI"..... Maana nywele zao twazijua na misuko yao pia........LAKINI SI KWA HAWA GHASIA.....SIJAWAHI ONA UNYWELE WAKE MMOJA .......
NADHANI NIMEELEWEKA MWALIMU MIMI...!

Bora umesema wewe mimi nimemwambia akitaka kujadili petty things aangalie upande wa pili ukoje
 
Dah mshikaji sasa naona unataka kupitiliza kwa uongo. Sakina Datoo alikuwa ITV na alikuwa anavaa hijab yake. Hata alipokwenda kutangaza mkutano wa SULLIVAN Arusha alikuwa amevaa hijab yake na wote tulimuona. Uwe unatafuta taarifa za kutosha kabla ya kumpoint mtu mkuu.

Mimi naona huyu jamaa anapayuka tu kama vile mlevi wa komoni
 
yaani mtu kichwa kimejaa kuonewa na kunyanyaswa kidini tu, ukiona jina labda leo atakuja na kitu kipya, wapi sasa kama nchi ina wengi kama hawa unadhani kutakuwa na maendeleo kweli?

Maana watu wanagombana na CCM kwa faida ya wote, wao wako bize kusubiri Maaskofu wanasema nini?

Mkulu
You have said it all
 
Dah mshikaji sasa naona unataka kupitiliza kwa uongo. Sakina Datoo alikuwa ITV na alikuwa anavaa hijab yake. Hata alipokwenda kutangaza mkutano wa SULLIVAN Arusha alikuwa amevaa hijab yake na wote tulimuona. Uwe unatafuta taarifa za kutosha kabla ya kumpoint mtu mkuu.

alipotoka america, alitakiwa kuajiriwa huko. lkn sharti kubwa napokuwa live taarifa ya habari awe wazi. ndio maana akawekwa kwenye gazeti.lkn sijawahi kumuoana live akisoma taarifa ya habari akiwa na hijab.jee huu utandawazi wa kina dada wetu?
 
toa upupu wako...Sakina is a senior editor na sio TV presenter.....

wachochezi utawajua tu hawana data .., na hawajui fact...uongo wa kutunga tu
 
yaani ushawahi kuona live itv mwanamke akivaa hijab? mtangazaji kama vile mlimani tv?
 
Back
Top Bottom