Why Mlimani Tv, not ITV, TBC?

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari nyengine
lkn baadhi ya tv hawaruhusiwi. na hii kutoruhsu uvaaji wa vazi la lazima kwa akina dada wetu wa kiiislam kunaifanya baadhi ya akdada wenye imani ya kweli na dini yao wanashindwa kujiunga na tv hizo huku wakiwa na sifa zao za utangazaji . kwa mfano niliwahi kusoma ktk moja ya gazeti kwamba Sakina dotto alikata kujiunga na Itv baada ya kukuataliwa kuvaa hijab akiwa Online.na wapo wengi tu ambao kwao hijab ni lazima lakina wanasifa zote za kutangaza.
Huku tukiwa tunapigania haki za wanawake Tanzania, yaani wawe huru bila ya kuvunja sheria, vyombo vya habri vikiwa mbele kutetea uhuru wa wanawake,yaani uhuru wa wanawake na kutowanyanyaswa .
Mbona mlimani tv inawezekana na huku Itv, star tv,Tbc haiwezekani? au mlimani tv ni ya waislam?
HIVI VYOMBO VYA HABARI VYETU HAVIONI UMUHIMU HUU HASA TUKIZINGATIA KWAMBA HUU NI WAKATI WA UTANDAWAZI?
 
yaani mlimani tv ni ya kiislam? mbona hijab
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari nyengine
lkn baadhi ya tv hawaruhusiwi. na hii kutoruhsu uvaaji wa vazi la lazima kwa akina dada wetu wa kiiislam kunaifanya baadhi ya akdada wenye imani ya kweli na dini yao wanashindwa kujiunga na tv hizo huku wakiwa na sifa zao za utangazaji . kwa mfano niliwahi kusoma ktk moja ya gazeti kwamba Sakina dotto alikata kujiunga na Itv baada ya kukuataliwa kuvaa hijab akiwa Online.na wapo wengi tu ambao kwao hijab ni lazima lakina wanasifa zote za kutangaza.
Huku tukiwa tunapigania haki za wanawake Tanzania, yaani wawe huru bila ya kuvunja sheria, vyombo vya habri vikiwa mbele kutetea uhuru wa wanawake,yaani uhuru wa wanawake na kutowanyanyaswa .
Mbona mlimani tv inawezekana na huku Itv, star tv,Tbc haiwezekani? au mlimani tv ni ya waislam?​

Wahusika tulishaomba huyu muogomchungu aondolewe kwenye list ya kuchangia, kila mara anapochangia anachangia swla la udini. Huyu mtu aangaliwe vizuri ametumwa kuvuruga nchi hii. Hata hivyo kila sehemu ya kazi ina sheria zake, kama wewe ni mkulima haufanyi kazi nafikiri hili utakuwa haulijui
 
another GREAT THINKER....

So members with opinions that differs from yours should be banned ?

Isn't that amazing?

and how do we expect to move on with this mentality?

unless you can point out where he has broken JF rules
 
yaani mtu kichwa kimejaa kuonewa na kunyanyaswa kidini tu, ukiona jina labda leo atakuja na kitu kipya, wapi sasa kama nchi ina wengi kama hawa unadhani kutakuwa na maendeleo kweli?

Maana watu wanagombana na CCM kwa faida ya wote, wao wako bize kusubiri Maaskofu wanasema nini?
 
yaani mlimani tv ni ya kiislam? mbona hijab
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari nyengine
lkn baadhi ya tv hawaruhusiwi. na hii kutoruhsu uvaaji wa vazi la lazima kwa akina dada wetu wa kiiislam kunaifanya baadhi ya akdada wenye imani ya kweli na dini yao wanashindwa kujiunga na tv hizo huku wakiwa na sifa zao za utangazaji . kwa mfano niliwahi kusoma ktk moja ya gazeti kwamba Sakina dotto alikata kujiunga na Itv baada ya kukuataliwa kuvaa hijab akiwa Online.na wapo wengi tu ambao kwao hijab ni lazima lakina wanasifa zote za kutangaza.
Huku tukiwa tunapigania haki za wanawake Tanzania, yaani wawe huru bila ya kuvunja sheria, vyombo vya habri vikiwa mbele kutetea uhuru wa wanawake,yaani uhuru wa wanawake na kutowanyanyaswa .
Mbona mlimani tv inawezekana na huku Itv, star tv,Tbc haiwezekani? au mlimani tv ni ya waislam?​

thread kama hii ipo kwenye habari mchanganyiko na hakuna hata mtu aliyeijibu.... potezea na ondoa habari zako za uchochezi wa kidini
 
Wahusika tulishaomba huyu muogomchungu aondolewe kwenye list ya kuchangia, kila mara anapochangia anachangia swla la udini. Huyu mtu aangaliwe vizuri ametumwa kuvuruga nchi hii. Hata hivyo kila sehemu ya kazi ina sheria zake, kama wewe ni mkulima haufanyi kazi nafikiri hili utakuwa haulijui

tambwe hiza alisema kwamba linapokuja swala dini ya kiislam watz huwa wanaumia na kuona hatari. lkn linapkuja swla la wakiristo huwa wanachekelea sana. alisema juzi star tv jee inamaana uvaaji hijab ktk tv sio mjadala? au kwa kuwa tu inahusu imani fulani? ingalikuwa imani nyengine ungalikuja na hoja hii?
 
yaani mlimani tv ni ya kiislam? mbona hijab
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari nyengine
lkn baadhi ya tv hawaruhusiwi. na hii kutoruhsu uvaaji wa vazi la lazima kwa akina dada wetu wa kiiislam kunaifanya baadhi ya akdada wenye imani ya kweli na dini yao wanashindwa kujiunga na tv hizo huku wakiwa na sifa zao za utangazaji . kwa mfano niliwahi kusoma ktk moja ya gazeti kwamba Sakina dotto alikata kujiunga na Itv baada ya kukuataliwa kuvaa hijab akiwa Online.na wapo wengi tu ambao kwao hijab ni lazima lakina wanasifa zote za kutangaza.
Huku tukiwa tunapigania haki za wanawake Tanzania, yaani wawe huru bila ya kuvunja sheria, vyombo vya habri vikiwa mbele kutetea uhuru wa wanawake,yaani uhuru wa wanawake na kutowanyanyaswa .
Mbona mlimani tv inawezekana na huku Itv, star tv,Tbc haiwezekani? au mlimani tv ni ya waislam?​
Can't we discuss more productive issues to our country other than this.
 
thread kama hii ipo kwenye habari mchanganyiko na hakuna hata mtu aliyeijibu.... potezea na ondoa habari zako za uchochezi wa kidini
nini uchochezi kwa wewe, yaani kuutetea uislam ingalikuwa nimeuzungumzia ukiristo ungalipiga thanks.
TANZANIA KWANZA
 
jamani mbona ni hoja nzuri tu, kama una la kuchangia changia hio hoja sio kumshambulia mtoa mada

kiukweli kuna haja kuheshimu mila na dini za watu wengine
 
na wewe kiherehere cha nini...pia hapa si jukwaa lake...tafuteni jukwaa la kuchangia hiyo mmayoita mila na kumbe ni dini
 
Kuahidiwa Mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC kumeleta mshikamano na serikali?
1. Waislamu wameahidiwa Mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC.
2. Hii imewafanya waweke matumaini makubwa kwa Serikali ya Awamu ya Nne na kwa rais Jakaya Kikwete kuwa amesikia kilio chao cha muda mrefu.
3. Je, haya matumaini ndiyo yanayofanya baadhi ya masheikh waanze kuwapinga maaskofu pale wanapotoa kauli dhidi ya serikali ili ionekane wanaiunga mkono serikali? I.e. Wanaogopa serikali isije ikabadili msimamo wake kuhusu Mahakama ya Kadhi na OIC?
HIYO HAPO JEEE? ILIOLETWA ?
HAYA NDIO WANAYOTAKA WAKIRISTO WA JF, WACHANGIE, WAPIGIANE THANKS. TUACHE UNAFIKI
 
LETS BE FAIR WANDUGU.......hebu tuangalie namna ambavyo tunaweza tukajiwakilisha...!
Kwa mtu ambaye sote twajua kuwa ni muislamu safi na aonyeshe uislamu wake pote na muda wote...na si uislamu wa FRONT PAGE.... unakuta mitoto haijui hata "ALIFU..BEE...TE...THE...." ndiyo ya kwanza kung'ang'ania uvaaji wa HIJABU SHULENI (mimi ni mwalimu nimeshuhudia hili) wakati huko mtaani ni kahaba nambari moja ...mvaa vimini na skin tight KAZI KULETA FUJO MASHULENI....!
Na ukifuatilia unakuta huo ushungi anao wa shuleni tu...na hata mihimizo yao wanataka wavae shungi mashuleni tu na sio mitaani...(PITIA MOST OF SO CALLED ISLAMIC SCHOOLS)
Hapa sijapinga kwamba wapo ambao ni GOOD MUSLIMS....kwa hawa let them wavae kwani ni FULL TIME MUSLIMS, na kwa PART TIME MUSLIMS hawa wasipewe nafasi kwani ndo huleta migongano katika jamii
Kati ya vigezo vya kuwatambua ni ile alama katika paji la nyuso zaoo..... JE MASISTA DU WANGAPI WA-KIISLAMU WANA ALAMA HII...? just mention them......HALIMA MDEE....ASHA BARAKA....HADIJA KIMOBITEL...RAY C......just to mention the few.......!
 
yaani mlimani tv ni ya kiislam? mbona hijab
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari nyengine
lkn baadhi ya tv hawaruhusiwi. na hii kutoruhsu uvaaji wa vazi la lazima kwa akina dada wetu wa kiiislam kunaifanya baadhi ya akdada wenye imani ya kweli na dini yao wanashindwa kujiunga na tv hizo huku wakiwa na sifa zao za utangazaji . kwa mfano niliwahi kusoma ktk moja ya gazeti kwamba Sakina dotto alikata kujiunga na Itv baada ya kukuataliwa kuvaa hijab akiwa Online.na wapo wengi tu ambao kwao hijab ni lazima lakina wanasifa zote za kutangaza.
Huku tukiwa tunapigania haki za wanawake Tanzania, yaani wawe huru bila ya kuvunja sheria, vyombo vya habri vikiwa mbele kutetea uhuru wa wanawake,yaani uhuru wa wanawake na kutowanyanyaswa .
Mbona mlimani tv inawezekana na huku Itv, star tv,Tbc haiwezekani? au mlimani tv ni ya waislam?

Yesterday was the Deadline for All Complaints!
 
lets be fair wandugu.......hebu tuangalie namna ambavyo tunaweza tukajiwakilisha...!
Kwa mtu ambaye sote twajua kuwa ni muislamu safi na aonyeshe uislamu wake pote na muda wote...na si uislamu wa front page.... Unakuta mitoto haijui hata "alifu..bee...te...the...." ndiyo ya kwanza kung'ang'ania uvaaji wa hijabu shuleni (mimi ni mwalimu nimeshuhudia hili) wakati huko mtaani ni kahaba nambari moja ...mvaa vimini na skin tight kazi kuleta fujo mashuleni....!
Na ukifuatilia unakuta huo ushungi anao wa shuleni tu...na hata mihimizo yao wanataka wavae shungi mashuleni tu na sio mitaani...(pitia most of so called islamic schools)
hapa sijapinga kwamba wapo ambao ni good muslims....kwa hawa let them wavae kwani ni full time muslims, na kwa part time muslims hawa wasipewe nafasi kwani ndo huleta migongano katika jamii
kati ya vigezo vya kuwatambua ni ile alama katika paji la nyuso zaoo..... Je masista du wangapi wa-kiislamu wana alama hii...? Just mention them......halima mdee....asha baraka....hadija kimobitel...ray c......just to mention the few.......!

sio hoja ya msingi. Hata katika uislam kuna wanafiki ambao mungu amesema atawaadhibu. Kwa hivyo swala la hijab ni swala la lazima kwa mwanamke, asiotaka kuvaa ni shauri yake lkn haimanishi kwamba na wale wanaotaka kuvaa kusingizia vigezo visivyomaana. Tuwape wanawake haki yao kama kweli tunataka kuwapa
 
Back
Top Bottom