Why mademu wa uswazi wanapenda boyz wenye magari?

Mshikachuma,

Observation yako umefanya kwenye jinsia moja tu? Vipi upande wa pili wa shilingi, wakaka wa uswazi wao wanapenda galz wenye nini?
Hiyo sijaifanyia observation....ningekuomba na wewe uifungulie thred yake ili tuitolee maoni
 
Demu anavuliwa hata kama gari limeandikwa POLISI, OR STK,SU, DFP hajalishi kama mhusika anamiliki au hamiliki waulize madereva taxi wanavyo kula mizigo ya maana ingawa wengi wao ni wafanyakazi tu.
 
Naunga mkono hoja ya aliyesema wengi wa madem, regardless of where she is living, (be it uswazi or uzunguni) wanapenda boyz wenye mikoko. Kitrip kidogo atabip ukipiga ataomba ukamchukue umpeleke sehemu. Leo utasikia twende huku kuna hiki, mara kesho twende kule kuna kile. Balaa mtindo mmoja.
 
Unajua kutongoza au kushawishi ni art sasa kwa mfano hawa mademu unaowaita wa 18-30 wengi wanapenda ku'exchange' mapenzi kwa vitu..sasa kwa akili aakikuona na gari au zamani simu anaamini tu unazo ..akili zao zimegota hapo..hawezi kufikiri labda umeazima au la ofisi yaan hawaendagi upana huo..shame on them

hapo kwenye RED umemaliza kila kitu!
 
Mkuu Mshikachuma, naomba nikurudishe nyuma kidogo! kuna kitu kimenifanya niulize, Kuna inshu hujaielezea kuhusu msingi wa hii maada kwa hiyo nashindwa kuunga matukio vizuri mkuu wangu. Hebu tupe kisa choooote, huenda umeona sehemu yakitokea au yamekukuta au umeyafanya kwa kutumia hiyo gari yako. Nipe ufafanuzi mkuu kabla sijatoa mchango wangu.
 
mimi naishi uswazi, na hicho kitu sijakiona! kwanza watoto wa ushwazi hawapendi watu wa dizaini hiyo!
Mi demu wa uswazi,napenda mwenye gari kwa sababu familia yetu hatujawahi kuwa na gari,nikimpata mwenye gari tutafarijika angalau tunalo japo kwa mbali.
 
Doooh imekuwa coincidence,mimi nimezaliwa uswazi lakini mtaani kwetu kuna jamaa walikuwa wanateremsha mizigo tofauti kwa Magari ya serikali au taxi drivers.
Lakini leo Mikocheni nimeona driver wa Bajaj anamteremsha Binti mzuri kweli na wa heshima(kwanje) kwenye gate,
Nikamuuliza driver wa Bajaj hata hawa wanapanda Bajaj?aAkanijibu tunawala sana hawa,nikamuuliza hajaolewa akanijibu-siku hizi sheria ya mwanamke 1/mwanaume 1 imebaki kwn makaratsi. i.e kina dada wote hawataki matatizo ukiwa na Bajaj/piki x 2 utakula mizigo,sasa kama wewe umefikia kuwa na gari jihadhari na ukimwi maana kila aina ya mzigo unaoutaka utakula tu.Kuna kina dada kila siku wanakuja kuchukuliwa na magari ma ofcn malipo ni mwili.
Wend njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom