Why mademu wa uswazi wanapenda boyz wenye magari?

Siyo siri baadhi ya mademu wa uswazi wananishangaza sana! yaani wakitongozwa na mwanaume mwenye gari
ni wepesi sana kumkubali huyo mtu kuliko mwanaume ambae hana gari. Mwenye gari anaweza kubeba mzigo within
2 or 3 dayz tu.....na asiye na gari inaweza kumchukua wiki 2 au hata mwezi ndipo abebe mzigo! Au anaweza asipe
we kabisa.....yaani siyo siri walio wengi kwanza gari, pesa inafuata....hasa hasa mademu wa age kanzia 18 - 30.

Swali linakuja -: Ni ushamba,mazingira ya uswazi yanachangia au wako sahihi?


kwanza hata hizo siku 2...3.. mi naona bado nyingi tu!!!!!!!!
mambo yamerahisishwa sana nowadayz mshkaji.................
 
Yaani we acha tu! sijui wana arage na magari....sijui ni ushamba. How come mwanaume mwenye gari ndio awe bora kwako? je kama kaliazima?

hapo kwenye red umeniacha kidogo unamaanisha nini? halafu mnashangaa vitu vya ajabukweli, mi sionitatizo kwa mtu kuchagua anachopenda, ndio maana hata wewe huwezi kutongoza tu kila 'msichana' unaekutana nae lazima uwe na 'specs' na hao waschana nao wana specifications zao ikiwemo kumiliki gari
 
Mmmmh!!! Kazi kweli ............... enzi zetu mtu unafuatilia mdada 4 2-3 years eti nowdays its just 2-3 days. Hatari sana hiiii....
 
Mh sidhan kama waweza pata penzi la kweli, siwez kuruhusu kuwa na mke wa sample hiyo., hapo atakuwa kapenda gari na siyo mimi.
 
Mh sidhan kama waweza pata penzi la kweli, siwez kuruhusu kuwa na mke wa sample hiyo., hapo atakuwa kapenda gari na siyo mimi.

Boss, hiyo ni chapa ilale. Lazima ujue kubalance akili btn ur head and its subsidiary
 
Mh sidhan kama waweza pata penzi la kweli, siwez kuruhusu kuwa na mke wa sample hiyo., hapo atakuwa kapenda gari na siyo mimi.
Umenchekesha kweli!Naamin enzi zenu maana waliokupenda kwa dhati sasa ni mabibi!Siku hizi haupendwi ww...wanataka raha zaidi. Hata ukiwa una ulemavu ukiwa nacho..wanakugombea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom