who is the MOST HATED PERSON In tanzania ( in overall) 2010

Forgotten others? Magufuli, Sitta, Tibaijuka, Mwakyembe, these are also the worst.
Hawa ni wazee wa kucheza na upepo, wazee wa maslahi!
 
well my awards goes to "the one and only ........YUSUPH MAKAMBA..." i really hate this person to the maximum.... nikimkuta anagombanana simba namsaidia simba badala yake.... vp waungwana kuna aliyemzidi.....


NB: second runner ni rostam ... then kikwete...

ROSTAM AZIZ
EDWARD LOWASSA
FREEMA AIKAELI MBOWE
JOSEPHINE MUSHUMBUZI and
nazir karamagi
 
Jamani chondechonde tusifike huko!!


wanalogeka... hv naangalia uwezekano wa kuwapa vibusha vya kilo moja unusu.. halafu navitia lock hakuna kutoa na operation wala nini tuone kama hawatakuwa wanatoka na misuli hadharani... shenzi kabisa garden bistro wakubwa..... sikinde ngoma ya ukae wakubwa hawa .mszyxzx xyz $@$@#$ wananiuzi hawa
 
"Dhana mbaya huharibu siha ya mtu na hudhoofisha mwendo mzuri. Roho zilizo makini hazitazamii jambo baya kabisa, bali daima hutegemea kukabiliana na jambo jema, kwa sababu zinajua kwamba jambo jema ni hakika ya daima na jambo baya si kitu isipokuwa ni udhaifu wa jema; kama vile ambavyo kiza chenyewe si kitu pekee bali ni hali ya kutokuwepo mwanga. Kwa hivyo, daima tafuteni mwanga, kwani mwanga huondoa kiza katika nyoyo zenu."
 
Back
Top Bottom