who is the MOST HATED PERSON In tanzania ( in overall) 2010

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
1,032
1,372
well my awards goes to "the one and only ........YUSUPH MAKAMBA..." i really hate this person to the maximum.... nikimkuta anagombanana simba namsaidia simba badala yake.... vp waungwana kuna aliyemzidi.....

NB: second runner ni rostam ... then kikwete...
 
RA, hivi hawa watu hawalogeki?
 
well my awards goes to "the one and only ........YUSUPH MAKAMBA..." i really hate this person to the maximum.... nikimkuta anagombanana simba namsaidia simba badala yake.... vp waungwana kuna aliyemzidi.....

NB: second runner ni rostam ... then kikwete...

Sasa wewe unamchukia Makamba wakati kazi Wana CDM tuliyomtuma (Kuimaliza CCM) amefanya vizuri,
 
Kila siku naomba Makamba eandele kuwa katibu mkuu wa CCM ili aivunjevunje vipandevipande. Amesaidia sana kuikoroga CCM.
 
Namchukia Kikwete kila cku nasemaga hivo. Yeye ndo kamuweka hata huyo Makamba hapo alipo na genge lake.

Though kuchukia ni dhambi ila sina jinsi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom