who is the MOST HATED PERSON In tanzania ( in overall) 2010

ROSTAM AZIZ, hamana anayenizidi kwa kumchukia huyu shetani.
nikibadilika kuwa assassin, nitaanza na yeye.
 
Wote mnawaonea mimi namchukia Julius Nyerere yeye ndio shina la yote mnayoyaona leo, alihakikisha katiba inasambamba na matakwa yake alidhani angeishi milele leo watu wanasaga meno wakidai katiba mpya na aliowaacha wamemsaliti wanaimega nchi kama hawana akili vile.
 
na anayechipukia katika hiyo tuzzo ni mary chatanda kamshinda ridhiwan kidogo
 
ccm wote namba wani............huwezi kuwa mpiganaji ndani ya ccm hata siku moja
 
Wote mnawaonea mimi namchukia Julius Nyerere yeye ndio shina la yote mnayoyaona leo, alihakikisha katiba inasambamba na matakwa yake alidhani angeishi milele leo watu wanasaga meno wakidai katiba mpya na aliowaacha wamemsaliti wanaimega nchi kama hawana akili vile.

Mh! Nadhani hata wazee wetu walikubali kuburuzwa na mpaka sasa wengine wana imani na chama chao.
 
NAMCHUKIA KIKWETE HANA MAAMUZI KAMA RAISI BILA YEYE HAO MASWAIBA WAKE ROSTAM, MAKAMBA & LOWASSA WASINGEFURUKUTA.:Cry:
 
well my awards goes to "the one and only ........YUSUPH MAKAMBA..." i really hate this person to the maximum.... nikimkuta anagombanana simba namsaidia simba badala yake.... vp waungwana kuna aliyemzidi.....

NB: second runner ni rostam ... then kikwete...

1. Jokahili
2. Ma-"rope"
3. Meli Kitanda
4. Rost ya hamu na Roho hasa
5. Annavyo "Mavifaranga"

Niongeze? wacha niishie hapo.

"Mlilala handingwa ndingwa mwe macho haambiwi tule"
 
Rostam hadhidhi,na swahiba wake Lowassa,hawa wameiba pesa nyng na kuliingza taifa ktk mzgo mkubw wa maden.
 
Back
Top Bottom