Which is the biggest city in East Africa? Nairobi, Dar es salaam or Kampala?

NDINDA

Platinum Member
Apr 4, 2011
10,347
47,190
The largest city in East Africa is Dar es salaam (imo) which city do you think is the biggest in East Africa? Please state
note:we are refering to the size and impresive skyline only.

NAIROBI WITHOUT UPPER HILL AND WESTLAND
5573097333_2dda472100_b.jpg

THE GREEN NAIROBI

94099169_aaddbb5791_o.jpg

DOWN TOWN NAIROBI
P9275332.jpg

DAR ES SALAAM

dar_zps2767f609.jpg

daressalaam.jpg

Flickr 上 Osse Greca Sinare 的 City of Dar es Salaam

Flickr 上 eutrophication&hypoxia 的 Dar es Salaam, Tanzania

672A547D540D-1.jpg

KAMPALA
5618942124_0e8a7322a9_z.jpg

5454831232_9e4761e312.jpg

Hahahaha, yaani nyie jamani post nyingine za kujua jografia za nchi pelekeni st. nanhiiii kule mbona mnatuchosha tena
 
Hahahaha, yaani nyie jamani post nyingine za kujua jografia za nchi pelekeni st. nanhiiii kule mbona mnatuchosha tena

acha dharau wewe, kama hutaki kujibu si uchune tuu mpaka tujute? hasa nini kimekuchekesha hapo?
 
mmmmhhhh kaswahili kanachanganya kidogo mi nadhani ni nairobi. dar shudu tu hadi mijengo ikikamilika labda tutakiuwa juu...
 
Ijulikanavyo ni Nairobi lakini ukweli upo wazi kuwa ni Daressalaam ni mji mkubwa x2 ya Nairobi
 
Wakuu,

Whether Dar or Nairobi is the biggest city, the real fact is that in the next 10 year Kigali will be the biggest city not only in East Africa but in Africa. Kwa wale wanaofuatilia ukuwaji wa miji Kigali inakua very fast. Juzi kulikuwa na documentary ya CNN juu ya Kigali bold Vision for 2020. Icheki hapa: Kigali's bold vision for 2020 – Business 360 - CNN.com Blogs Are we up for this chaallenge?

Dar inaweza kuwa the biggest city in East Africa lakini hili haliindolei Dar kuwa na sifa ya jiji la 12 kwa uchafu duniani. Hii ni kwa mujibu wa Forbes: In Pictures: The World's 25 Dirtiest Cities - Forbes.com

Ni heri kuwa na kamji kadogo lakini ni ka safi and modern than having a massive but dirtiest city. Sorry but that is the naked fact.
 
Ndinda unanifurahisha kweli kwa kushusha vitu. Nilishaona posts zako! Keep it up!!

nairobi without upper hill and westland
5573097333_2dda472100_b.jpg

the green nairobi
94099169_aaddbb5791_o.jpg

down town nairobi
p9275332.jpg

dar es salaam
daressalaamskyline.jpg

from another angle
dartza.jpg

the rising dar es salaam
thechangingdarskyline.jpg

kampala
5618942124_0e8a7322a9_z.jpg

5454831232_9e4761e312.jpg
 
Kwa maoni yangu hapa umetumika ujanja tu wa camera, mbona Nairobi nayo haionyeshwi kwa mbali kama Dar ilivyoonyeshwa?. Dar bado sana kuifikia Nairobi, Dar inashindana na Mombasa. Tuendelee kujitahidi labda siku moja tutawafikia.
 
kama kawa tutafika tuu, tukaze mkanda, lakini tusilinganishe dar na mombasa tena, kwa sababu haiji kabisaaaa, labda miaka kumi iliyopita , sio sasa hivi
 
Wakuu,

Whether Dar or Nairobi is the biggest city, the real fact is that in the next 10 year Kigali will be the biggest city not only in East Africa but in Africa. Kwa wale wanaofuatilia ukuwaji wa miji Kigali inakua very fast. Juzi kulikuwa na documentary ya CNN juu ya Kigali bold Vision for 2020. Icheki hapa: Kigali's bold vision for 2020 – Business 360 - CNN.com Blogs Are we up for this chaallenge?

Dar inaweza kuwa the biggest city in East Africa lakini hili haliindolei Dar kuwa na sifa ya jiji la 12 kwa uchafu duniani. Hii ni kwa mujibu wa Forbes: In Pictures: The World's 25 Dirtiest Cities - Forbes.com

Ni heri kuwa na kamji kadogo lakini ni ka safi and modern than having a massive but dirtiest city. Sorry but that is the naked fact.

the biggest city in Africa in just 10 years? labda the most beautiful au most morden lakini sio the biggest in AFRICA, au litakua kubwa kwa kitu gani? maana najua dar itaongoza kwa kuwa na population growth kubwa kuliko nchi nyingine africa. au kigali itaongoza kwa ICT, financial hub au?Labda kwa sababu ni rahisi kufanya biashara pale basikutakua na wahamiaji wengi, na jiji likakua na kuwa biggest in africa?
20101215211256_55763.jpg
 
Back
Top Bottom