africa6666
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 281
- 53
Dar kubwa Horizontally, Nairobi Vertically, Kampala ndogo sana both ways
the biggest city in Africa in just 10 years? labda the most beautiful au most morden lakini sio the biggest in AFRICA, au litakua kubwa kwa kitu gani? maana najua dar itaongoza kwa kuwa na population growth kubwa kuliko nchi nyingine africa. au kigali itaongoza kwa ICT, financial hub au?Labda kwa sababu ni rahisi kufanya biashara pale basikutakua na wahamiaji wengi, na jiji likakua na kuwa biggest in africa?
hivi ukubwa wa jiji ni foleni, magorofa, wingi wa ombaomba au wingi wa machangudoa?
Wakuu,
Whether Dar or Nairobi is the biggest city, the real fact is that in the next 10 year Kigali will be the biggest city not only in East Africa but in Africa. Kwa wale wanaofuatilia ukuwaji wa miji Kigali inakua very fast. Juzi kulikuwa na documentary ya CNN juu ya Kigali bold Vision for 2020. Icheki hapa: Kigali's bold vision for 2020 Business 360 - CNN.com Blogs Are we up for this chaallenge?
Dar inaweza kuwa the biggest city in East Africa lakini hili haliindolei Dar kuwa na sifa ya jiji la 12 kwa uchafu duniani. Hii ni kwa mujibu wa Forbes: In Pictures: The World's 25 Dirtiest Cities - Forbes.com
Ni heri kuwa na kamji kadogo lakini ni ka safi and modern than having a massive but dirtiest city. Sorry but that is the naked fact.
nimekuelewa mkuu, thanks,Mkuu inadepend how you define a biggest city. Does the biggest mean the largest? Hizo statistics ulizotoa zinaonyesha growth in terms of population. Of course, population ni moja ya determinants za how big the city is, but is not the only one. A big city does not depend only on the population. Kuna determinants nyingi. Kwa mfano kuna watu wanadefine the biggest city basing on things like arts, entertainment, and culture, networking and community,transportation and traffic[/COLOR], fine dining, modern conveniences, cost of living, etc.
Tatizo ni kwamba linapokuja suala la ku define the biggest city, kila mtu anavutia kwake. Wapo watakaodefine basing on morphological of the city. Wengine watabase zaidi kwenye functional position of the city or administrative position of the city. Ndio maana unakuta miji kama Bogota, Karachi, Kinshasa, Lima, Tehran kwenye list ya top 25 biggest cities in the World. Kama tunaangalia skyscrapers why Kinshasa is among the to 25 biggest city in the world? Kama tutadefine biggest city kwa kuaangalia skyscrapers, why then only two American cities (New York and Los Angeles) feature in the top 25 biggest cities in the world?
Asante mkuu, hapo nimekupata na nimejifunza kitubiggest / largest tunaongelea vitu viwili tu, population na size.
Hivyo vingine tafuta jina tofauti, sasa kama kuna mtu ana reliable populations na sizes za Dar, Nairobi na Kampala anaweza kujua which is the biggest / largest.
Mji wa Hong Kong una ma skyscrapers kuliko Dar, Nairobi na Kampala combined lakini hatusemi mji wa Hong Kong (34.5 sq miles) ni mkubwa kuliko Dar (101.5 sq miles)
Mji wa Tokyo miaka michache iliyopita ulikuwa na phone lines kuzidi bara zima la Africa combined (mostly for data, when phone lines ruled, lakini hilo halikutufanya tuseme kwamba mji wa Tokyo ni mkubwa kuliko bara lote la Africa.
Vatican City ina collection ya art ambayo nchi nyingi kubwa haziwezi kufikia, lakini hili halitufanyi tuseme Vatican City ni kubwa kuliko Tanzania.
Tunapoongelea ukubwa tunaongelea vitu viwili specifically, size and population.
Dar 262.5 sq km (101.5 sq miles) population 3,000,000
Nairobi 696 km2 (684 ?) (269 sq mi) (Mkoa? mji ?) population 3,000,000
Kampala 189 sq km (73 sq miles) population 1,200,000
Area wise Nairobi is the largest, population Dar and Nairobi are too close to call.
Ni factors nyingi kidogo, ikiwemo mpangilio wa mji kimandhari, uwezo wa miundombinu kuhimili idadi ya wakaazi na uchumihivi ukubwa wa jiji ni foleni, magorofa, wingi wa ombaomba au wingi wa machangudoa?
kwani hapa katika hizo picha wapi umeona foleni, ombaomba na changudoa??hivi ukubwa wa jiji ni foleni, magorofa, wingi wa ombaomba au wingi wa machangudoa?
View attachment 78929
Chezeya Mzizima veve, ukiona mapovu yamezidi sikuhizi basi utapata jibu, wapi geza?
Ijulikanavyo ni Nairobi lakini ukweli upo wazi kuwa ni Daressalaam ni mji mkubwa x2 ya Nairobi