The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Hahaha!!!kwa jinsi mwanafunzi mimi
nilivyo mvivu
nahisi nikija kutuma application
nitakuta sio,darasa,bali shule imeshajaa
na mwalimu upo overworked lol
Enzi zile maisha ya chuo. Umepata thanks yangu gaga?haya kwa hiyo mnasoma huku mwasikiliza music? mna raha sana
Enzi zile kweli gagurito au juzjuz tu, thanx nimeiona sasa ile ya mwanzo sijui ulimpa nani
hahaha nilijua utastuka tuUnaujua huu wimbo wewe, embu usikize urudi kupost upya
Mi mwenyewe chi inglishi siwezi nakipenda tu kujishaua nacho, mwaga mapoint ushawahi sikiza wimbo huu kama hujawahi ujaribu then leta feedbackKumbe hili sredi linajadiliwa kwa kinyerere?
Nlivyoona taito iko kwa kiinglishi nikaisepa..........ndo mazara ya kusoma shule ya msingi Mbuyuni na kuishia standadi foo B.
Aaaaa wapi....na umri huu bongofleva nani ataziweza?..Nikiteguka ulimi?Mi mwenyewe chi inglishi siwezi nakipenda tu kujishaua nacho, mwaga mapoint ushawahi sikiza wimbo huu kama hujawahi ujaribu then leta feedback
Siku mojamoja unambadilishia bibi anajua mumewe nae anajua nyimbo za kidhungu banaAaaaa wapi....na umri huu bongofleva nani ataziweza?..Nikiteguka ulimi?
Mi zangu ni
'Zuweeeena, ningempata wapi eh....zuweenaaa mwingine sawa na wewe
Mtoto aliyeumbika, mwenye tabia za kupendeza
Zuweena zuwena kweli nampeeendaaa!
Bibi naye umri ushaenda, unataka apate kichomi....Siku mojamoja unambadilishia bibi anajua mumewe nae anajua nyimbo za kidhungu bana
Kumbe kiss inachanganya wengi eee maana hata mie napenda sana mengine ni ya kufatia tuha ha ha .... Gaga had some obstacles but all is good now....
Kiss wacha iitwe Kiss, ndo maana waweza kuta una a guy you
would want to kiss na kutosha wala hata msiende another stage...
huu uzi ngoja nikimbie maana nitaharibu...lol
Dada Gaga huu wimbo sijui naupataje huku bush, ila maneno mazuri sana sana nimeyapenda