When You Kiss Me

...........................Hahahahahhhhh nyie watu vivuli haha bahati yenu 'mwenyewe' nae aipenda hii lol!!

Ahhhh! Ya kweli hayo MJ1? :) sasa kama ni hivyo mbona ukaiondoa!? Nadhani nilikuwa wa kwanza kuipigania avatar hii kumbe tuko wengi tunaoizimia :)
 
[Instrumental Solo]
"...I can see you with me when I'm older..." mkuu gaga hebu leta li'song lingine, hili twalikubali, si umecheki response?
 
[Instrumental Solo]
"...I can see you with me when I'm older..." mkuu gaga hebu leta li'song lingine, hili twalikubali, si umecheki response?
You took the weight of the world off my
shoulders
Mie hayo maneno hapo juu lol
Mwimbo si upo EMT aliweka you tube kabisa tafuta post yake
 
Habari ya jumatatu wanajamii wote haswa wa MMU,
Jumatatu ya leo ningependa kuwapa dedication wale wote
wapendanao, na wenye mapenzi mema kwa wenza wao

Chek huu wimbo wa Shania Twain, kwa mie huwa nakumbuka
mbali sana, ni siku nyingi nilimpa la aziz wangu kama dedication
na yeye since then amekuwa akiusikiliza mara kwa mara apatapo nafasi

Naomba ku share na nyinyi



"When You Kiss Me"

This could be it, I think I'm in love
It's love this time
It just seems to fit, I think I'm in love
This love is mine

I can see you with me when I'm older
All my lonely night are finally over
You took the weight of the world off my
shoulders (the world just goes away)

[Chorus:]
Oh, when you kiss me

I know you miss me--
and when you're with me
The world just goes away
The way you hold me
The way you show me that you
adore me--oh, when you kiss me
Oh, yeah

You are the one, I think I'm in love
Life has begun

I can see the two of us together
I know I'm gonna be with you forever
Love couldn't be any better

[Repeat Chorus]

[Instrumental Solo]

I can see you with me when I'm older
All my lonely nights are finally over
You took the weight of the world off my
shoulders (the world just goes away)

[Repeat Chorus]

And when you kiss me
I know you miss me
Oh, the world just goes away
When you kiss me


Cc, ...... Chagga King.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom