WhatsApp Plus APK

tafuta Fmwhatsapp. ni improvement za gbwhatsapp... iko vzur zaid ya gbwhatsapp.. haina adds kama za gbwhatsapp... ina themez 50+ zaid ya gbwhatsapp
 
msaada tafadhali nmedownload ila inakataa kuinstall naomba mnipe msaada
 

Attachments

  • 1452923059167.jpg
    1452923059167.jpg
    14.4 KB · Views: 54
ina install ila mwshoni inakataa na kuandika "an existing package by the same name with a conflicting signature is already installed" MSAADA TAFADHALI
 
Kwasababu kama ikiwa imeshapigwa burn huwa kuna zingine zinagoma kuistall, jaribu kusearch tena bila kutumia link ya kwanza kwa kutumia google then udownload nyingine inaweza kukubali
 
Mnanichanganya nyie mjue
Mi sielewi mnazungumzia nini hapa
Nashauri mtoe elim na cye wengine tunufaike
 
Back
Top Bottom