Msaada: Nimefungiwa WhatsApp

RAJ SIMBA

Member
Apr 26, 2020
15
9
Habar zenu Jamani

Naomba msaada wa hili tatizo langu la WhatsApp yangu KUFUNGIWA.

Hili tatizo limekuwa kubwa Sana kwangu, nimejaribu kutuma message kwa watsapp support kwa Mara ya kwanza walinifungilia nimetumia SIKU 2 wakanifungia tena na muda huo wakanifungia namba nyingine tena, nimejaribu tena kuwaomba msaada wamenifungulia Namba Moja

Basi me nikaamua kutamia Namba nyingine kabisa ambayo haijawah kusajiliwa watsapp nimefungua zimepita kama masaa 8 na Yenyewe wameifungia. Sa me nahisi sijui simu yangu ndo inamatizo Au mana natumia Oppo A 83

Naombeni msaada kwa hilo mwenye kulijua anijuze na hapo chini nimeweka picha

Screenshot_2023-04-29-22-35-35-02.png

Screenshot_2023-04-29-14-38-43-96.png

View attachment 2604233
View attachment 2604234
View attachment 2604236
Halafu umedisclose number yako
 
Kama unatumia genuine WhatsAlp app na unapata ban, basi utakuwa unakiuka Sheria na Masharti ya WhatsApp, kwa mfano unatuma message ambazo unaowatumia wana zi label kama spam (barua taka), au scam (utapeli). Epuka kutuma tuma jumbe kwa watu usiowafahamu, hasa kama ni issue za kibiashara. Ukiwa reported ndio unaashia kuwa banned.
 
Ndo ipoje iyo customer ram
stock rom ni OS ambayo inatoka kwa manufacturer, wkt custom rom inaweza pia kuwa official ikiwa imekuja na simu ila kuna wengine kwa kuwa simu haipati update tena anaamua kutafuta os ya juu kwenye unverified source, na hii ndio namaanisha hapa maana kwenye upande wa security haipo secured.
 
Kaka kwani shida hasa hua nini maana hata mimi account ya wasap haifanyi kazi kwakweli
Kampuni inayo miliki Whatsapp ndo imeanza kufungia namba zote ambazo zinatumia (Fm Whatsapp, GB Whatsapp, Yoo Whatsapp) na nyingine zaidi ya hizo ambazo hazina umiliki wa Whatsapp wame-hack hiyo Application ya Whatsapp.
 
Kama unatumia genuine WhatsAlp app na unapata ban, basi utakuwa unakiuka Sheria na Masharti ya WhatsApp, kwa mfano unatuma message ambazo unaowatumia wana zi label kama spam (barua taka), au scam (utapeli). Epuka kutuma tuma jumbe kwa watu usiowafahamu, hasa kama ni issue za kibiashara. Ukiwa reported ndio unaashia kuwa banned.
Hawa ndio wale huna number yake unashangaa amekutext anajiita laizaking halafu anaomba usevu namba yake ili muwe mnaoneana status, kwenye dp unakuta anaweka picha ya pisi kali wkt yeye ni dume lina mkonga mbele..

Nimeshablock na kuwareport wengi wenye pigo hizo.
 
Duuu kwa hiyo kujinasua na hilo tatizo tufanyeje maana account iliyofungiwa ndio biashara yangu
Download whatsapp nyingine

Lkn ili kuverify namba tumia njia ya call verification (confirmation) yani badala ya kutumiwa code kwa messages basi na uhakika itarudi account yako
Nb
Punguza magroup yasio na maana cause kuna scammers wanapambana kuhack account za watu.
 
Back
Top Bottom