Kummilikisha mtu mmoja mitandao mitatu mistake

Mark ameifanya hii mitandao kuwa na sheria moja akizima anazima kote

Ni kama serikali ilivyoiminya mifuko ya jamii ikaifanya kitukimoja mwishowe na sheria zimekuwa moja likitokea la kutokea ni kote kote
Ajiandae kulipa mabilioni ya faini,maana Marekani wateja na Serikali hawatakagi upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzawa wetu Maxence Mello angetengeneza social platform kama Watsap tuachane na huu ungese wa mtu mmoja kutusumbua dunia nzima
 
Aisee, nilikuwa na update hizi app, mara naambiwa simu yako tarehe haiko sawa irekebishe. Nikiangalia naona muda ni ule ule wa +3GMT.....!!!!
 
Huu ni muendelezo wa kuhamisha umati (kupoteza maboya) kwenye mzozo wao kule Taiwan
Jana Pandora Papers, leo Facebook kesho sijui wataleta nini.

Great thinkers tunataka kujua msimamo wake yeye kama big dog wa dunia ni nini maana mshirika wake kashikwa pabaya huko
 
View attachment 1962921Hapa ndo naungana na wasema ukweli hakuna jaribio la serikali kuzima mtandao bali ni Dunia nzima hata ambao hawako Tz they experience the same problem

View attachment 1962924

Sasa fikiria kwa nini watu wafikirie ni TCRA na si vinginevyo? Upuuzi aliouanza Magu wa kuzimana na mitandao mambo ya giza sana na kuyaacha yanaendelea ndiyo sababu…Hakuna ambaye angewaza hivyo kwenye utawala wa kikwete
 
Back
Top Bottom