Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
tulivyokuwa mwanzo sio kwamba alikua romantic saaaaan lakin siku hizi ndo kabsaaaaaaa...hata hug na kisses zile za chumbani tu zile zimekua shida....smtimz i real nid himmmmmmmmm utaskia kesho mi nimechoka sa lini hajachokaaaa....mpaka nianze mimi......mi namfanyia hiv na vile lakini yeye yupo tuu jamani yani naona mfumo dume mis hata sielewi.....yani sifiki kule nilikokuwa nafika zamani.....juzi karudi kalewa....dah amejitahidi kuanzia usiku ule hadi asubuhi tatu....although sikufika nilipokuwa nakwenda i was satsified kiasi chake mwanzo hakuwa hivyo.....bila 5 6 2likuwa hatujaamka yani mpak aasubuhi sa tatizo nini....
Babygirl...someone is assisting you!