Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
kama huwezi kutafsiri picha si uwaachie wajuzi? wewe huwezi kuona ukweli kwa kuwa tumbo lako linawategemea hao mafisadi
Tafasri ya hiyo picha ya kushoto ni nini?
kama huwezi kutafsiri picha si uwaachie wajuzi? wewe huwezi kuona ukweli kwa kuwa tumbo lako linawategemea hao mafisadi
kuna picha moja na taswira mbili, na ndio maana ukii-download huwezi ukapata mafaili mawili, kama huamini jaribu, hapa suala ni editing tuhapo mbona pana picha mbili?
Education is a basic right of a citizen. After 50 years of independence, it seems the rights of Tanzanian citizens are FLAGRANTLY disregarded to uphold the status QUO-which is CORRUPTION. Every DOLLAR embezzled means that DOLLAR did not reach its intended destination in health, education and other areas. IT ALSO means that the publicly elected official did not do his fiduciary duty to HIS people, but did HIS duty to HIS own group of friends.
Gossip kwa maana ipi, picha ni ya kutunga au vipi?
Inaweza isiwe Perth lakini ni picha inayoonesha wakati
wa safari ya kuelekea huko Perth...
Tafasri ya hiyo picha ya kushoto ni nini?