What is wrong with this picture?

Picha ya kushoto ni ya UONGO sio PETH, AUSTRALIA ni DAR-ES-SALAAM AIRPORT

DAMN PICTURES DOES NOT HOLD WATER...

Bring us human structure on issues, not gossip...
 
Picha ya kushoto ni ya UONGO sio PETH, AUSTRALIA ni DAR-ES-SALAAM AIRPORT

DAMN PICTURES DOES NOT HOLD WATER...

Bring us human structure on issues, not gossip...

Gossip kwa maana ipi, picha ni ya kutunga au vipi?
Inaweza isiwe Perth lakini ni picha inayoonesha wakati
wa safari ya kuelekea huko Perth...
 
Ina maana Prezidaa, VP na PM wote walikuwa kwenye CHOGM huko Perth?
 
Gossip kwa maana ipi, picha ni ya kutunga au vipi?
Inaweza isiwe Perth lakini ni picha inayoonesha wakati
wa safari ya kuelekea huko Perth...
Mbona maandiko yanaonyesha kuwa wako Perth. Huu ni uongo wa mchana kweupe. Humu ndani ni vyema mkaleta habari za ikweli kiliko kujitungia mipicha kama magazeti ya udaku! Mwishowe JF itaonekana kama kijiwe samli kijiwe vha majungu, tetesi na uongo. si vyema kuipeleka JF huko.
 
Hiyo picha ya kushoto ni kweli haikupigwa australia..ni uwanja wa ndege wa tanzania. Ilikuwa alhamis ya tarehe 3/11 baada ya kutoka australia. Ukiangalia huo ujumbe ni viongozi waliokuja kumpokea vasco da gama baada ya kuambiwa kuna ku-camerooniwa!
 
haijanishangaza sana, sababu najua viongozi wa ccm wanazipenda familia zao tu! na wapo radhi kuuza nchi kwa ajili ya kupewa vijisenti kwa kigezo cha uwekezaji, na wanakauli tamu sana na ndio maana huwa nawasikitia watu wasioelewa na walioridhika eti Tanzania ni maskini, nakataa Tanzania sio maskini bali viongozi wanatupeleka katika umaskini na tusipokuwa makini nchi itakuwa Fukara wao wachache wataikimbia Tanzania watapewa uraia nje
 
Mbona maandiko yanaonyesha kuwa wako Perth. Huu ni uongo wa mchana kweupe. Humu ndani ni vyema mkaleta habari za ikweli kiliko kujitungia mipicha kama magazeti ya udaku! Mwishowe JF itaonekana kama kijiwe samli kijiwe vha majungu, tetesi na uongo. si vyema kuipeleka JF huko.

Vipi ndugu yangu, mbona unakurupuka kutaka malumbano na mimi,
kwani mimi ndiye niliyeposti hii picha au nilikuwepo Perth? Acha kuingilia
kazi ya Salva, au na wewe siku hizi ni msemaji wa Rais? Mimi nachangia
maoni yangu kama unavyochangia wewe, na usitake nikubali kile
unachoamini wewe...
 
Mie interest yangu ni hiyo picha ya kulia ya shule. Siku zote uwa najiuliza swali hili:

"Ni kwanini viongozi wanaweza kuishi maisha ya kifahari wakati tunatoa huduma mbovu za jamii kama hiyo shule inavyoonyesha"

Hela za V8 zipo na bado tunajenga nyumba ya 1.5bilion kwa ajili ya Gavana na wasaidizi wake lakini kujenga shule hatuna hela?????? Shame on you!

Wajibu wa wawakilishi wetu ni nini? TAFAKARI
 
It is simply PK yaani PASUA KICHWA! Haya ndio majengo ya shule zetu aliyopaswa kuonyeshwa mwana wa mfalme ili ajue tunavodumisha mila na baada ya hapo sidhani kama angeendelea kutalii maana baada ya kuona sarasa hilo angehis segment atakayopelekwa baada ya hapo ni kinamama wanojifungulia njiani kwa vile hospital iko 60 kms ahead!
 
Vipi ndugu yangu, mbona unakurupuka kutaka malumbano na mimi,
kwani mimi ndiye niliyeposti hii picha au nilikuwepo Perth? Acha kuingilia
kazi ya Salva, au na wewe siku hizi ni msemaji wa Rais? Mimi nachangia
maoni yangu kama unavyochangia wewe, na usitake nikubali kile
unachoamini wewe...
mkuu sikuwa na maana ya kupinga post yako. mimi nilikuwa naongelea picha na post ya kwanza ni kwa bahati mbaya tu nika reply kwenye post yako na wala simsemei salva. nimesemea picha ambayo ni ya uongo kwa kuwa hao watu wote hawakuwa Perth kwa wakati mmoja lakini picha na maandiko yanayoambatana nayo yanataka tuamini kuwa walikuwa perth pamoja.
 
Pole sana ndugu yangu, huyo jamaa kwa kujipendekeza kwa watawala ndio mwenyewe, yeye katika magamba hampendi Hawa Ghasia tu eti hajui kiingeleza, lakini ukiwakosoa magamba wengine anakuwa shubiri ile mbaya.
 
mkuu sikuwa na maana ya kupinga post yako. mimi nilikuwa naongelea picha na post ya kwanza ni kwa bahati mbaya tu nika reply kwenye post yako na wala simsemei salva. nimesemea picha ambayo ni ya uongo kwa kuwa hao watu wote hawakuwa Perth kwa wakati mmoja lakini picha na maandiko yanayoambatana nayo yanataka tuamini kuwa walikuwa perth pamoja.
kama huwezi kutafsiri picha si uwaachie wajuzi? wewe huwezi kuona ukweli kwa kuwa tumbo lako linawategemea hao mafisadi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom