MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Hahah Lawyer, kwani kisukari si inamaanisha tamu tamu au?Kuna memba hapo chini anachungulia anaitwa kisukari, Mungu atujaalie tumpate kisukari (memba, tumpate hapa jukwaani) lakini tusipate kisukari (marazi), kutokana na hizi sredi za wiki hii.
ammen