Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
ha h aha,
hiyo ya u-lecturer nilikuwa sijaisikia ila sitashangaa. Waberoya kwake kila kitu kilichoharibika hapo Tanzania kimesababishwa na wapinzani.
Jana ulimbana kisawasawa aliposhindwa akanigeukia mimi akaanza zake za kulia lia nikamwambia kila hoja yako itajibiwa kwa hoja kadri itakavyokuja ana kasumba ya kuwabeza watu waliojitolea kwa hali na mali kuisaidia Tanzania kama kina Lipumba Mbowe Slaa Zitto Seif na wengine ndiyo hatukatai wana weakness zao tukimwambia aje na alternative anasema bora CCM sawa tuambie basi kwa nini iendelee hana jibu