Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
Wanaume wanaweka magari yao tinted ili kubebea wanyama pori.
je kwanini wadada wengine wanaweka tinted kwenye magari?
Wanabeba mabuzi makubwa makubwa na majogoo ya mtaa