What about women!

wadada wengi wanatumia magari ya haohao waume zao
dada kama dada hawapendi kuweka tinted.
 
Wanaume wanaweka magari yao tinted ili kubebea wanyama pori.

je kwanini wadada wengine wanaweka tinted kwenye magari?

Viv, hii ni moja ya usalama tuu kwenye gari. Wale vibaka wa kiarabu wasione kwa haraka ndani ya gari kuna nini cha kubeba. Wanaume hatuna nia mbaya...kinadada wengi wanavunjiwa magari yao kwa sababu vipochi na laptop zao zinaonekana kwakiwa wamepaki au kwenye foleni.
 
Mamito hujambo, hawataki kokodolewa macho na wengi ni waathirika wa Carolight kwahiyo jua ni adui yao.
 
Positive thinking. hii nimeipenda, but......

Mamito hujambo, hawataki kokodolewa macho na wengi ni waathirika wa Carolight kwahiyo jua ni adui yao.

Kumbe karoli laiti haipendi jua eeh!!

Kwani karoli laiti na jua haviendani?
 
Kwani karoli laiti na jua haviendani?
wanaojichubua hugundua madhara wakiwa wameshachelewa wanaingia gharama ya kununua Bio oil kila wiki kichupa chenyewe kidogo sijui elfu 25 wanadai kinasaidia kupunguza madhara ya jua kwa kizazi cha Carolight.
 
mmmmh! Bio oil unaninulia mwenyewe halafu sahv unayaponda. Khaa!
 
Back
Top Bottom