Werema aliliwa kichwa mara mbili bar exams

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Wanajamvi, si unajua ukitaka kuwa wakili lazima upitie ile bar exams ukifaulu ndo unaapishwa kama advocate wa high court. Ile panel hainaga akili nzuri, walimgalagaza mara mbili, anaejua kama jamaa alikuja kufaulu ile mitihani atudokeze.
 
Alimaliza - ndo maana ni AG wa serikali yetu

sekunde saba hazikutoshi kuthibitisha pasipo shaka ufaulu wa werema, jipange, mwenzio (katuthibitishia kuwa alifeli kwa vitendo) kajinyamazia kimyaaaaa liwalo na liwe.
 
Jk aliko anajisikia raha kwa kumpata mtu sahihi kwa nafasi hiyo.Nadhani mnaufahamu ule msemo maarufu kwamba ''kikwete ni mtendaji mzuri lakn wasaidizi wake wanamwangusha'' kwa hiyo watendaji kama akina warema wanakuwa shock absorber wa jk huku yeye akionekana mtu safi.Kwa warema hakika jk alipata mtendaji mzuri
 
Shock absorbers!! Ila hii inatoa picha nzuri kabisa.
 
Wanajamvi, si unajua ukitaka kuwa wakili lazima upitie ile bar exams ukifaulu ndo unaapishwa kama advocate wa high court. Ile panel hainaga akili nzuri, walimgalagaza mara mbili, anaejua kama jamaa alikuja kufaulu ile mitihani atudokeze.

Kuitwa Kichwa Darasani haimaanishi ni kichwa kwenye Tafsiri ya Sheria kwa Walimwengu

Ni tofauti kabisa Mwananchi... Kuna Vichwa Vingi tu lakini Vinaropoka Matusi... i.e MCHEMBA
 
Alimaliza - ndo maana ni AG wa serikali yetu

kwa taarifa yako ukiwa mtumishi wa umma hata ukifaulu bar hauapishwi. Unajiwekea hazina ya uwakili utakaoufanya baada ya kutoka serikalini. Kuwa Ag haimaanishi ni wakili kama hujui unatuliza kitenesi.
 
Wanajamvi, si unajua ukitaka kuwa wakili lazima upitie ile bar exams ukifaulu ndo unaapishwa kama advocate wa high court. Ile panel hainaga akili nzuri, walimgalagaza mara mbili, anaejua kama jamaa alikuja kufaulu ile mitihani atudokeze.

Watu wengine wapu.. Kama umejua aliliwa kichwa mara mbili kwa nini ushindwe kujua ka alikuja kufaulu au laa!
 
Hapa mpaka aje msemakweli kanerugaba(sorry kama nitakuwa nimelikosea jina la pili) alietoa kitabu cha list ya mafisadi wa elimu,maana naona watu wanakausha kutuambia ukweli juu ya huyu jamaa,mura huyu ni wa ajabu sana,kajiingiza katika mitego ya kisiasa.
 
kwa taarifa yako ukiwa mtumishi wa umma hata ukifaulu bar hauapishwi. Unajiwekea hazina ya uwakili utakaoufanya baada ya kutoka serikalini. Kuwa Ag haimaanishi ni wakili kama hujui unatuliza kitenesi.

Mkuu Mjeda Chilo,
Vp kuhusu Waziri Chikawe kuapishwa wiki mbili zilizopita?
 
Back
Top Bottom