Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,038
- 5,824
Kazi kweli kweli yaani😂😂💔Kwakweli, na tunaweza kubwabwaja hapa weee Hadi jioni lakini bado watarudiana Tena🚮
Kazi kweli kweli yaani😂😂💔Kwakweli, na tunaweza kubwabwaja hapa weee Hadi jioni lakini bado watarudiana Tena🚮
Furaha ya nyoko , achana na hiyo paparasi songa mbele.maneno yananitia furaha
Wanasemaga usipende kua mshauri wa watu waliowahi kulala uchi kitanda kimoja, unaweza kufedheheka mwishoniKazi kweli kweli yaani😂😂💔
Huwa hawashauriki hata kidogo. Unatoa ushauri wakipatana wanakusema ety mnafiki ulitaka kuwaachanishaa..nishaachaga huo ujinga bora niwe tu observer 😂😂😂Wanasemaga usipende kua mshauri wa watu waliowahi kulala uchi kitanda kimoja, unaweza kufedheheka mwishoni
Nadhani wewe ni Mimi kabisa... Tena Kama anataka nimpe ushauri na story inachekesha naweza nicheke akiwa ananiona😃😃Huwa hawashauriki hata kidogo. Unatoa ushauri wakipatana wanakusema ety mnafiki ulitaka kuwaachanishaa..nishaachaga huo ujinga bora niwe tu observer 😂😂😂
The same tu me. Akiniambia namjibu tu fanya kitu roho inapenda😂😂 alafu napita hv🏃🏿Nadhani wewe ni Mimi kabisa... Tena Kama anataka nimpe ushauri na story inachekesha naweza nicheke akiwa ananiona😃😃
Unakuta anaomba ushauri kwa kichwa cha juu , maamuzi anafanya kwa kichwa cha chini .The same tu me. Akiniambia namjibu tu fanya kitu roho inapenda😂😂 alafu napita hv🏃🏿
Ndo hivo sasa, kichwa chini kikifanya yake anakuona mnafiki kwa ushauri uliompaa.Unakuta anaomba ushauri kwa kichwa cha juu , maamuzi anafanya kwa kichwa cha chini .
😁😁Ndo hivo sasa, kichwa chini kikifanya yake anakuona mnafiki kwa ushauri uliompaa.
Hilo ndo jibu linalohitajika, kwanini kujipa kazi😃The same tu me. Akiniambia namjibu tu fanya kitu roho inapenda😂😂 alafu napita hv🏃🏿
🤣🤣🤣Unakuta anaomba ushauri kwa kichwa cha juu , maamuzi anafanya kwa kichwa cha chini .
Hvo an ,🍻Hilo ndo jibu linalohitajika, kwanini kujipa kazi😃
🤣🤣Ule msemo wa 'Kulia na kusaa meno' utaupata hivi punde. Endelea kukaza fuvu lako.
Aise kweliKULA NYAMA NYAMAZA
stress za nini mwisho wa mwaka huu
Kwamba binti ana mimba ya jamaa mwingine na huelewi ufanye nini..
Big message I'll do soBlock and report.