Wenye uzoefu wa maumivu ya mapenzi tusaidiane

philantrhopist

JF-Expert Member
Jun 18, 2023
376
622
Hivi karibu nilipost uzi hapo kuhusu kukataliwa na wazazi.

Maajabu binti ana mimba ya mtu mwingine kumbe ilikua ni kuzingukwa tu na jamaa aliyemtia mimba hamuoi, kapita kushoto.

Binti anarudi kuniambia hayo mambo. Ninampenda sana lakini ndio hivyo tena kikwazo mimba.

Naumia moyo wangu ndugu zangu. Naombeni msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom