Ukitaka kufahamu JF unakutana na watu wenye uzoefu kuliko wewe na wenye akili kuliko hata walio kuzunguka mpaka wazazi wako, pata tatizo

cathedral

Member
Apr 13, 2018
12
60
Habari za asubuhi?

Jana niliomba ushauri kuhusu mke wangu, wengi walinishauri, maybe kutokana na uzoefu wa ndoa zao au kutokana na kushuhudia mengi kutoka kwa wazazi wao, ila naamini hakuna alie nishauri from know where tuna experince nzuri sana kuhusu ndoa wengi wetu!

Kwangu JF wapo wazazi, hilo nimeamini, wapo walio kuja dm ili japo kunipa ushauri tuu, ata bila kumlipa mtu anakushauri nini cha kufanya aasee ni zaidi ya upendo kwangu mimi!

Ila nataka nifanye kushare na nyie japo kidg uhalisia wa mimi kumuoa huyu bi dada maan wengi wananiluliza nakunambia nilitaka mwenyewe sababu tayari nilikua nishaona tabia za uyu bibie.

Iko hivi mwaka 201** nilimaliza kidato cha sita hapa hapa Bongo mama angu mimi ni mjaruo na mzee wangu mkurya, wazazi wangu wote wanafanya kazi jeshi xxx hapa bongo maisha yangu yote mekulia laini?

Baada ya kumaliza six nikiwa jeshini nilikosa mkopo wa kwenda chuo, ile mujibu wa sheria but after kutoka kuna rafiki angu ni mtu wa dini sana tulisoma high school wote aliniambia kanisani kwao kuna ufadhili wa watu walio soma sayansi(kanisa anglikana) tena kijinini kabisa watu ambao ata ukiwambia sience hawakuelewi ni nini na huyo rafiki angu ye alisoma ECA, kwa muda huo sikua na jinsi maana tayari nilikua nishakosa mkopo wa kusoma chuo.

Hivyo nikaongea na wazazi wangu kuhusu hili swala (ikubumkwe kwetu sie ni wale wa jumamosi) mzee kanipa bless zote na maza, shida ikaja kule wakataka nibadili dini pia hili mzee wangu alipitisha asubuh sana but mama asee alifunga na kuomba kwenye hili swala mwisho kanambia mwanangu huenda mungu anataka upeleke neno uko, hao anglikana waujue usabato akanipa go a head mama angu!

Hivyo nikawa mepata msaada wa kusoma nchi fulani america, kwa msaad wa kanisa la watu na hapo ndio nilikutana na ambae ni mke wangu.

Tulikutana chuo akiwa ananizidi mwaka mmoja mbele ila yeye sijui anasomeshwa na nani kwa wakati huo, ikiwa me nasomeshawa na kanisa, tulianza mahusiano baada ya kufahamiana kwa miezi kama 3 hv na ile tunaongea lugha moja, baada ya mwaka 1 hv, tukawa tunakaa nyumba moja dhen after pale ndio alipata ujauzito.

Baada ya kupata mimba ilibidi mimi niongee na wazazi wangu, nikawambia ukweli wote mzee akani promice atalimaliza hili swala, akaenda kwao binti kumbe mzee wake asee ni mchungaji wa kanisa flani la kilokole kamtimua mzee kamkana na na mtoto wake akatumia na mwanae (mke wangu sasa) hana mtoto kama yeye maana tayari alikua kashamtafutia mchumba.

Kiuharisia mzee alinipa moyo sana kanambia dg we pambana haya maisha hayako fair ata kidog, bahati nzuri bro ake na mke wangu akawa upande wangu akanisimamia mpka mwisho.

Yule bidada baada ya miezi kama 5 alikua na maisha magumu sana kwao hapati hata 100 asee ilibidi nifanye kazi mara mbili zaidi, at ze end of time yeye na kaka ake ndio walileta wazo la ndoa ikabidi mimi nishilikishe wazazi wangu, mzee wangu kama kawaida yake yupo upande wangu but mama alizingua kiasi na sababu ni dini tofauti, but alikuja kuelewa aka bless.

Hivi nilimuoa huyo bibie baada ya kumaliza chuo na kutarudi home ,nikapata kazi kampuni flani hv,ndoa ya selikal ikisimamiwa na wazazi wangu na broo wa mke wangu na shangazi ake.

NB: Muda wote huo niliua najua udhaifu wa mke wangu na niliapa kutomuoa kabla ya haya, thats y nilisema nilisha achana na mahusiano kama haya b4, but situation iliyotokea kwao ikiumbukwe official nimemuoa 2018 mpka leo bado wazazi wake wamesusa, na tabia za mke wangu hazibadiliki na tuna mtoto hiv nikimuacha na tayar nilisha haribu kwao itakua sahihi kweli au ndio mwanzo wa kulogwa huu?

NB: Kufanya kazi mwenyew nilikua najaribu kuficha udhaifu wa mke wangu nadhani kwa walio kwenye ndoa wanaelewa siwez bishana sana but mwisho wa siku inabidi nikubalii nimeshindwa, tatiz nimpeleke wapi huyu mwanamke kumfukuza siwez coz hana pakwenda?

Imagine ni wew mtoto wa watu kimentokea hvo but bado ni mama wa mtoto wako na bado anaudhaifu kama huo unafanya nini?
 
Habari za asubuhi?

jana niliomba ushauri kuhusu mke wangu, wengi walinishauri, maybe kutokana na uzoefu wa ndoa zao au kutokana na kushuhudia mengi kutoka kwa wazazi wao, ila naamini hakuna alie nishauri from know where tuna experince nzuri sana kuhusu ndoa wengi wetu!

Kwangu JF wapo wazazi, hilo nimeamini, wapo walio kuja dm ili japo kunipa ushauri tuu, ata bila kumlipa mtu anakushauri nini cha kufanya aasee ni zaidi ya upendo kwangu mimi!

Ila nataka nifanye kushare na nyie japo kidg uhalisia wa mimi kumuoa huyu bi dada maan wengi wananiluliza nakunambia nilitaka mwenyewe sababu tayari nilikua nishaona tabia za uyu bibie.

Iko hivi mwaka 201** nilimaliza kidato cha sita hapa hapa Bongo mama angu mimi ni mjaruo na mzee wangu mkurya, wazazi wangu wote wanafanya kazi jeshi xxx hapa bongo maisha yangu yote mekulia laini?

baada ya kumaliza six nikiwa jeshini nilikosa mkopo wa kwenda chuo, ile mujibu wa sheria but after kutoka kuna rafiki angu ni mtu wa dini sana tulisoma high school wote aliniambia kanisani kwao kuna ufadhili wa watu walio soma sayansi(kanisa anglikana) tena kijinini kabisa watu ambao ata ukiwambia sience hawakuelewi ni nini na huyo rafiki angu ye alisoma ECA, kwa muda huo sikua na jinsi maana tayari nilikua nishakosa mkopo wa kusoma chuo.

Hivyo nikaongea na wazazi wangu kuhusu hili swala (ikubumkwe kwetu sie ni wale wa jumamosi) mzee kanipa bless zote na maza, shida ikaja kule wakataka nibadili dini pia hili mzee wangu alipitisha asubuh sana but mama asee alifunga na kuomba kwenye hili swala mwisho kanambia mwanangu huenda mungu anataka upeleke neno uko, hao anglikana waujue usabato akanipa go a head mama angu!

Hivyo nikawa mepata msaada wa kusoma nchi fulani america, kwa msaad wa kanisa la watu na hapo ndio nilikutana na ambae ni mke wangu.

Tulikutana chuo akiwa ananizidi mwaka mmoja mbele ila yeye sijui anasomeshwa na nani kwa wakati huo, ikiwa me nasomeshawa na kanisa, tulianza mahusiano baada ya kufahamiana kwa miezi kama 3 hv na ile tunaongea lugha moja, baada ya mwaka 1 hv, tukawa tunakaa nyumba moja dhen after pale ndio alipata ujauzito.

Baada ya kupata mimba ilibidi mimi niongee na wazazi wangu, nikawambia ukweli wote mzee akani promice atalimaliza hili swala, akaenda kwao binti kumbe mzee wake asee ni mchungaji wa kanisa flani la kilokole kamtimua mzee kamkana na na mtoto wake akatumia na mwanae (mke wangu sasa) hana mtoto kama yeye maana tayari alikua kashamtafutia mchumba.

Kiuharisia mzee alinipa moyo sana kanambia dg we pambana haya maisha hayako fair ata kidog, bahati nzuri bro ake na mke wangu akawa upande wangu akanisimamia mpka mwisho.

Yule bidada baada ya miezi kama 5 alikua na maisha magumu sana kwao hapati hata 100 asee ilibidi nifanye kazi mara mbili zaidi, at ze end of time yeye na kaka ake ndio walileta wazo la ndoa ikabidi mimi nishilikishe wazazi wangu, mzee wangu kama kawaida yake yupo upande wangu but mama alizingua kiasi na sababu ni dini tofauti, but alikuja kuelewa aka bless.

Hivi nilimuoa huyo bibie baada ya kumaliza chuo na kutarudi home ,nikapata kazi kampuni flani hv,ndoa ya selikal ikisimamiwa na wazazi wangu na broo wa mke wangu na shangazi ake.

NB: Muda wote huo niliua najua udhaifu wa mke wangu na niliapa kutomuoa kabla ya haya, thats y nilisema nilisha achana na mahusiano kama haya b4, but situation iliyotokea kwao ikiumbukwe official nimemuoa 2018 mpka leo bado wazazi wake wamesusa, na tabia za mke wangu hazibadiliki na tuna mtoto hiv nikimuacha na tayar nilisha haribu kwao itakua sahihi kweli au ndio mwanzo wa kulogwa huu?

NB: Kufanya kazi mwenyew nilikua najaribu kuficha udhaifu wa mke wangu nadhani kwa walio kwenye ndoa wanaelewa siwez bishana sana but mwisho wa siku inabidi nikubalii nimeshindwa, tatiz nimpeleke wapi huyu mwanamke kumfukuza siwez coz hana pakwenda?

Imagine ni wew mtoto wa watu kimentokea hvo but bado ni mama wa mtoto wako na bado anaudhaifu kama huo unafanya nini?
Umesema amesoma that means anaweza akajitafutia kipato mwenyewe. Unaweza ukalea mtoto akiwa mbali.

Labda mimi sijakuelewa. Sielewi kwanini unakwama kufanya maamuzi. Chagua moja either kubaki nae au kuachana nae na uendelee kutunza mtoto
 
Habari za asubuhi?

Jana niliomba ushauri kuhusu mke wangu, wengi walinishauri, maybe kutokana na uzoefu wa ndoa zao au kutokana na kushuhudia mengi kutoka kwa wazazi wao, ila naamini hakuna alie nishauri from know where tuna experince nzuri sana kuhusu ndoa wengi wetu!

Kwangu JF wapo wazazi, hilo nimeamini, wapo walio kuja dm ili japo kunipa ushauri tuu, ata bila kumlipa mtu anakushauri nini cha kufanya aasee ni zaidi ya upendo kwangu mimi!

Ila nataka nifanye kushare na nyie japo kidg uhalisia wa mimi kumuoa huyu bi dada maan wengi wananiluliza nakunambia nilitaka mwenyewe sababu tayari nilikua nishaona tabia za uyu bibie.

Iko hivi mwaka 201** nilimaliza kidato cha sita hapa hapa Bongo mama angu mimi ni mjaruo na mzee wangu mkurya, wazazi wangu wote wanafanya kazi jeshi xxx hapa bongo maisha yangu yote mekulia laini?

Baada ya kumaliza six nikiwa jeshini nilikosa mkopo wa kwenda chuo, ile mujibu wa sheria but after kutoka kuna rafiki angu ni mtu wa dini sana tulisoma high school wote aliniambia kanisani kwao kuna ufadhili wa watu walio soma sayansi(kanisa anglikana) tena kijinini kabisa watu ambao ata ukiwambia sience hawakuelewi ni nini na huyo rafiki angu ye alisoma ECA, kwa muda huo sikua na jinsi maana tayari nilikua nishakosa mkopo wa kusoma chuo.

Hivyo nikaongea na wazazi wangu kuhusu hili swala (ikubumkwe kwetu sie ni wale wa jumamosi) mzee kanipa bless zote na maza, shida ikaja kule wakataka nibadili dini pia hili mzee wangu alipitisha asubuh sana but mama asee alifunga na kuomba kwenye hili swala mwisho kanambia mwanangu huenda mungu anataka upeleke neno uko, hao anglikana waujue usabato akanipa go a head mama angu!

Hivyo nikawa mepata msaada wa kusoma nchi fulani america, kwa msaad wa kanisa la watu na hapo ndio nilikutana na ambae ni mke wangu.

Tulikutana chuo akiwa ananizidi mwaka mmoja mbele ila yeye sijui anasomeshwa na nani kwa wakati huo, ikiwa me nasomeshawa na kanisa, tulianza mahusiano baada ya kufahamiana kwa miezi kama 3 hv na ile tunaongea lugha moja, baada ya mwaka 1 hv, tukawa tunakaa nyumba moja dhen after pale ndio alipata ujauzito.

Baada ya kupata mimba ilibidi mimi niongee na wazazi wangu, nikawambia ukweli wote mzee akani promice atalimaliza hili swala, akaenda kwao binti kumbe mzee wake asee ni mchungaji wa kanisa flani la kilokole kamtimua mzee kamkana na na mtoto wake akatumia na mwanae (mke wangu sasa) hana mtoto kama yeye maana tayari alikua kashamtafutia mchumba.

Kiuharisia mzee alinipa moyo sana kanambia dg we pambana haya maisha hayako fair ata kidog, bahati nzuri bro ake na mke wangu akawa upande wangu akanisimamia mpka mwisho.

Yule bidada baada ya miezi kama 5 alikua na maisha magumu sana kwao hapati hata 100 asee ilibidi nifanye kazi mara mbili zaidi, at ze end of time yeye na kaka ake ndio walileta wazo la ndoa ikabidi mimi nishilikishe wazazi wangu, mzee wangu kama kawaida yake yupo upande wangu but mama alizingua kiasi na sababu ni dini tofauti, but alikuja kuelewa aka bless.

Hivi nilimuoa huyo bibie baada ya kumaliza chuo na kutarudi home ,nikapata kazi kampuni flani hv,ndoa ya selikal ikisimamiwa na wazazi wangu na broo wa mke wangu na shangazi ake.

NB: Muda wote huo niliua najua udhaifu wa mke wangu na niliapa kutomuoa kabla ya haya, thats y nilisema nilisha achana na mahusiano kama haya b4, but situation iliyotokea kwao ikiumbukwe official nimemuoa 2018 mpka leo bado wazazi wake wamesusa, na tabia za mke wangu hazibadiliki na tuna mtoto hiv nikimuacha na tayar nilisha haribu kwao itakua sahihi kweli au ndio mwanzo wa kulogwa huu?

NB: Kufanya kazi mwenyew nilikua najaribu kuficha udhaifu wa mke wangu nadhani kwa walio kwenye ndoa wanaelewa siwez bishana sana but mwisho wa siku inabidi nikubalii nimeshindwa, tatiz nimpeleke wapi huyu mwanamke kumfukuza siwez coz hana pakwenda?

Imagine ni wew mtoto wa watu kimentokea hvo but bado ni mama wa mtoto wako na bado anaudhaifu kama huo unafanya nini?
we jiulize tu,
Je, utaweza kuishi hivyo kwa miaka 40 kwa amani? kama ndio endelea kama hapana usiendelee.
Ayo mengine yatakaa sawa tu.
 
Kanuni # 3
Usioe mwanamke kwasababu anamaisha magumu, umemponza, unamuhurumia ama unataka watu waone.
 
Hebu ngoja nisome story yako nyingine nahisi nishaona tatizo
 
Kijana nimesoma story yako Hapa na nimegundua yafuatayo;

1. Hujatupa story kamili, unapotaka ushauri mzuri make sure unatoa story full usitoe nusu nusu mpaka ukawa unawaongoza wachangiaji waww upande gani

Toa story kamili, hapo kabla alikuaje, unahisi unamkosea? Yani toa na ubora wake sio udhaifu wake tu

2. Unajua cha kufanya ila unatafuta kuungwa mkono kuendelea kuwa nae, which is so bad!

3. Kama unachosema ni kweli tupu nakwambia MUACHE MARA MOJA!
Mwanamke wa hivyo anashindwa kutimiza majukumu yake hata kidogo hafai hata kwa kuzini nae.

4. Ukiendelea kwa njia mnayoishi sasa ukitegemea atabadilikq jua unatwanga maji kwenye kinu HATABADILI KAMWE, lazima umuadhibu vikali kabisa ili ajue userious wa tabia yake hiyo mbaya inayohatarisha afya ya wazazi wako.

Namalizia….

MUACHE MUACHE MUACHE MUACHE!!!
 
Ni msomi kama wewe maana yake ameelimika kwani ukimuita ukampleka mahali nje ya nyumbani.

Mkaenda kubarizi upepo mahali ukamwaambia hey nisikilize tena vizuri.
Tabia hizi moja mpaka 100 sijazipenda fanya hivi na hivi.

Lakini pia katika mahusiano akizidi tabia fulani sisi hatuwezi rekebisha mfano uchafu.
 
Back
Top Bottom