Wenye uzoefu namna kupunguza salio(float) kwenye machine za Selcom na bank ili kupata cash wanisaidie

yeto

Member
Aug 23, 2010
59
40
Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie

Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa,

Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia makao makuu ya Selcom wanasema hawana huduma labda tutafute wengine wenye machine hizo tuwapunguzie ambacho siyo kitu rahisi.

Kwa benki zingine kama NMB mwenye account pekee ndio anaruhusiwa kutoa hela benki kama umetoka au umesafiri haiwezekani.

Kwa mitandao ya sim hamna shida kwani unaweza kuongeza flaot au kupunguza na kupata cash kwa mawakala wakuu ambao hawana sheria zozote ngumu mtu yoyote anatoa au kuweka

Je wazoefu changamoto hizi mnafanyaje kwenye selcom kupunguza float ili upate cash na kwenye bank kama hauko ofisini.

Natanguliza shukranI.

Ahsanteni
 
Bila shaka unatumia lipa kwa halotel kujaza float kwenye selcom maana hawakati hata mia
 
Mi Sina mashine ninatumia simu tu,natumia halotel Huwa nahamisha kutoka selcom kwenda halopesa wananikata kiasi kidog kama lipa,Kisha float natoa Kwa wakala mkuu wa halopesa
Shukran umeniongozea ujuzi nitajaribu hii

Ahsante sana
 
Back
Top Bottom