Wenye uwezo wa kufundisha, njoni tuchape kazi

mcheck huyu jamaa simple guy but very fit in physics,chemistry, and physics.(pcb) mm alinifundisha o-level na nilifanya vizuri kwenye pcb,so jaribu kuwasiliana naye,ni mtu simple sana u just call him 0688982416
 
Hii Idea Ni Nzuri Sana Mkuu.Keep Going.. Ukipelea Mtu wa Economics nichek pia..
 
asalaaaam wanajf, ninafanya project yangu ya kurekodi vipindi vya masomo kwa ajili ya kufundishia kwa njia ya mtandao, hivyo basi nahitaji watu wenye uwezo mzuri wa kufundisha, wenye uelewa mpana wa kufundisha na wenye uwezo mzuri wa kujieleza kwa ufasaha. Masomo yote ya sekondari na shule ya msingi na pia nawakaribisha wanaojua kufundisha lugha kama kifaransa, kingereza n.k. Karibuni tufanye majadiliano.

mi na uwezo wakufundisha hisabati msingi na sec pia na uwezo wa ziada kufundisha uchumi.namba zangu ni 0653663399
 
Good idea nimeipenda, ningekuwa mwizi ningekuibia

mkuu chukua tu, hakuna uchoyo katika elimu. Mimi nina darasa langu, kupata walimu imekuwa tabu sana ndo nikapata wazo hili, nimetafuta cd za hivi napata za kizungu tu na wabongo tushazoea wabongo wenzetu.
 
Back
Top Bottom