Nafasi za kazi: Walimu wa English kufundisha "twisheni" watoto wa shule za kayumba

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,117
Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama wenzao wa English Mediums ili wakifika sekondari wasipate shida darasani.

Mimi nili chukua mkakati huu kutoka kwa dada angu mtoto wa baba angu mdogo.

Huyu sista angu " age mate wangu " ni mtundu mtundu na mpambanaji tangu tukiwa watoto.

Yeye anaishi Chang'ombe na watoto wake watatu wote wanasoma Wailes Primary. Mmoja kamaliza hapo hapo Wailes Primary na sasa hivi anajiandaa kwenda form five mwezi huu. Kwa maana ya kwamba alifaulu primary akaenda secondary ya kayumba akapata division two and now anaenda form five.( huyu ni mtoto wa kike " wa kiswahili " ambae amekulia uswahilini without a father figure around her"

Siku hiyo nikiwa nyumbani kwake nilishangaa kuona watoto wake wanaongea kiingereza vizuri as if wanasoma English Medium. Sio kuongea tu bali hadi kuandika wanaandika vizuri plus uelewa wao wa masomo mengine na dunia kwa ujumla ni mkubwa.

So I asked my sister watoto wake wanasoma shule gani?. She replied to me Wailes Primary ambayo najua ni Kayumba.

Mwanzoni nilidhani labda wanasoma " Chang'ombe English Medium ( ambayo ni ya serikali) but hell no! It was just a "mbali-mfalme" kayumba.

Up to this moment of time nilikuwaga na unyanyapaa mkubwa sana dhidi ya shule zinazo itwa shule za Kayumba utafikiria na Mimi sijasoma kwenye shule hizo.

So I asked her imekuwaje watoto wake wapo smart hivyo na kiingereza wanapiga vizuri hivyo, akanipa mkakati wake.

Watoto wake wanasoma kayumba lakini amewawekea tuition ya KIINGEREZA inayo fundishwa na mwalimu wa English Medium. Huyu mwalimu wa English Medium anawafundisha vitu vyote vya kiingereza ambavyo vinafundishwa kwenye shule za KIINGEREZA. Bei zake ni affordable. Anasema wapo walimu wengi wa English Mediums ambao wanafanya hivyo.

Watoto wanaanza kusoma kuanzia wakiwa la kwanza na chekechea"( topic zote za KIINGEREZA ambazo wanafundishwa watoto wa English Mediums na watoto wake wanazipata kama zilivyo)

Anasema huo ndio mkakati wake na umemlipa coz umeleta matokeo chanya kitaaluma kwa watoto wake plus imemsaidia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ambayo angelazimika kuwa anayatoa huko English Mediums.

Baada ya kufanya " intelligence analysis" nika uelewa .mkakati wa dada angu. Nikaona una mashiko. I was like kwanini niende China kununua bidhaa ambayo naweza kuipata kariakoo?( usiende china) mbona hata Mimi mwenyewe nilisoma shule ya kiswahili na nilitoka vizuri ( miaka ya tisini karibu nchi nzima tulikuwa tunasoma shule za kiswahili, za kiingereza zilikuwa za kuhesabu so " vuguvugu" la English Mediums halikuwaga kihivyo.

So nikawatoa watoto wangu wawili English Medium nikawapeleka Kayumba. Kisha nikawawekea mwalimu wa kiingereza ambae anafundisha shule za English Medium na anawafundisha kwa kutumia vifaa na vitabu vya English Medium.

Watoto wanaendelea kufanya vizuri darasani. Kiingereza wanaongea na kuandika vizuri sana kwa sababu vitu vyote vya kwenye somo la KIINGEREZA wanavyo fundishwa wenzao kwenye shule za English Medium wanavipata kwa mwalimu wa Tuition.

Nimeondokana na stress za kulipa mamilioni kila baada ya miezi mitatu ili tu watoto wangu wajifunze kiingereza yes I mean it shule za English Mediums are technically vituo vya English course.

SO NATANGAZA FURSA ZA KUJIONGEZEA KIPATO KWA WALIMU WA ENGLISH MEDIUMS, WA KIINGEREZA, WALIMU WALIOPO VYUONI 'WANAFUNZI WA VYUO" KWENYE VYUO MBALIMBALI NCHINI, ambao wanataka KUJIONGEZEA kipato kwa kufundisha tuition ya somo la kiingereza kwa watoto wanao soma shule za kayumba kwa makubaliano kati yako na mzazi wa mwanafunzi husika, fanya kama.ifuatavyo.

Comment maelezo yako hapo kwenye comment section ukisema kata unapoishi na namba zako za simu ili kama kuna mzazi yupo kwenye kata hiyo na yupo interested basi akutafute.

Unaweza KUJIONGEZEA nafasi ya kupata wazazi wengi kama utajielezea sifa zako na uzoefu wako katika kufundisha somo la kiingereza.

Kama unaona tatizo kuandika namba zako za simu hapa unaweza kukoment kata unayopatikana kisha ukaalika watu pm. Kazi kwako and God bless.
 
Wilaya Temeke
Kata Azimio

Ur welcome Bei zetu ni rafiki Sana lengo mtoto Apate Elimu Bora ya kujua lugha ya kingereza na Msaada wa kisaikolojia wa kuhakikisha mtoto wako anakuwa Bora kichwani na darasani.

Nb hata kama mtoto wako mgumu na anatabia ambazo hazina maadili ya kiafrica na kitanzania yote hayo tunadili nayo .
 
God bless you mkuu. Utapata watu wengi sana hapa sema Napokeaa
 
Am the ticha now I want me tich the tuishen please am i degree holder 😄😄😄😄
 
Wilaya Temeke
Kata Azimio

Ur welcome Bei zetu ni rafiki Sana lengo mtoto Apate Elimu Bora ya kujua lugha ya kingereza na Msaada wa kisaikolojia wa kuhakikisha mtoto wako anakuwa Bora kichwani na darasani.

Nb hata kama mtoto wako mgumu na anatabia ambazo hazina maadili ya kiafrica na kitanzania yote hayo tunadili nayo .
Tumuite ticha Mpwayungu Village

Changamkia fursa hii ili ujikwamue kiuchumi na uache kupiga blaa blaa hapa JF
 
Walimu wazuri tumejaa tele humu japo hatupo kwenye ajira rasmi tulizosomea. Tuna upeo mkubwa wa kuchakata mambo ya kielimu (analysis) kiasi cha kutunukiwa shahada za heshima. Ishu ni kwamba mishahara ni midogo sana kwa mwalimu wa kisasa mwenye simu janja na usafiri wake binafsi. Tuisheni wakitoa hela nzuri kazi ya kutukuka itafanywa tu (wondering) toeni hela nzuri mpate walimu chapchap
 
Fursa ndio hii mkuu wewe weka maelezo yako, unapatikana wapi, I mean kata gani wilaya gani na mkoa gani. Butterfly effect is real mkuu. Walimu ni bidhaa ghali na muhimu sana.
 
Niko wilaya ya Temeke Kata ya Mianzini Mtaa wa Machinjioni sehemu marufu kama Jenga Uza karibuni kwa Huduma kwa watoto wenu ili waweze kufika malengo Yao sio watoto wa shule ya msingi hata Sekondari ambao kingereza Chao Akiko vzr.
 
Mr. Sadalla 0713812884. Kituo kinaitwa MSEC, mtaa wa ndumbwi, kata ya mbezi juu, wilaya ya kinondoni, mkoa wa Dar es salaam. Karibuni sana.PIA TAREHE 18/9/2023 PRE FORM ONE COURSE itaanza. KARIBUNI SANA.
 
Aliyeko mwanza igoma,kishili,kisesa, Buhongwa,fumagila,sawa chini na juu,tuonane Nina watt utawafundishia nyumbani Nina ubao wa mark pen uwe unanisaidia kuwafundisha.
Nina mmoja hajaanza hata naseri Ila anaandika vizuri tu kwa pen,ku count ,ku Soma vizuri kwa English,yaani anaandika words like table,girl,ukimuagiza kitu kwa English anakuletea.
English Ni lugha tu Kama lugha zingine nadhani Wala sio kuwa Ni dhahabu labda tu inaongewa dunia nzima.
 
Mkuu nashukuru Kwa fursa hii ni Mwalimu wa English na Kiswahili napatikana Morogoro, kihonda Magereza.

Kwa mzazi mwenye uhitaji am available.
 
Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama wenzao wa English Mediums ili wakifika sekondari wasipate shida darasani.

Mimi nili chukua mkakati huu kutoka kwa dada angu mtoto wa baba angu mdogo.

Huyu sista angu " age mate wangu " ni mtundu mtundu na mpambanaji tangu tukiwa watoto.

Yeye anaishi Chang'ombe na watoto wake watatu wote wanasoma Wailes Primary. Mmoja kamaliza hapo hapo Wailes Primary na sasa hivi anajiandaa kwenda form five mwezi huu. Kwa maana ya kwamba alifaulu primary akaenda secondary ya kayumba akapata division two and now anaenda form five.( huyu ni mtoto wa kike " wa kiswahili " ambae amekulia uswahilini without a father figure around her"

Siku hiyo nikiwa nyumbani kwake nilishangaa kuona watoto wake wanaongea kiingereza vizuri as if wanasoma English Medium. Sio kuongea tu bali hadi kuandika wanaandika vizuri plus uelewa wao wa masomo mengine na dunia kwa ujumla ni mkubwa.

So I asked my sister watoto wake wanasoma shule gani?. She replied to me Wailes Primary ambayo najua ni Kayumba.

Mwanzoni nilidhani labda wanasoma " Chang'ombe English Medium ( ambayo ni ya serikali) but hell no! It was just a "mbali-mfalme" kayumba.

Up to this moment of time nilikuwaga na unyanyapaa mkubwa sana dhidi ya shule zinazo itwa shule za Kayumba utafikiria na Mimi sijasoma kwenye shule hizo.

So I asked her imekuwaje watoto wake wapo smart hivyo na kiingereza wanapiga vizuri hivyo, akanipa mkakati wake.

Watoto wake wanasoma kayumba lakini amewawekea tuition ya KIINGEREZA inayo fundishwa na mwalimu wa English Medium. Huyu mwalimu wa English Medium anawafundisha vitu vyote vya kiingereza ambavyo vinafundishwa kwenye shule za KIINGEREZA. Bei zake ni affordable. Anasema wapo walimu wengi wa English Mediums ambao wanafanya hivyo.

Watoto wanaanza kusoma kuanzia wakiwa la kwanza na chekechea"( topic zote za KIINGEREZA ambazo wanafundishwa watoto wa English Mediums na watoto wake wanazipata kama zilivyo)

Anasema huo ndio mkakati wake na umemlipa coz umeleta matokeo chanya kitaaluma kwa watoto wake plus imemsaidia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ambayo angelazimika kuwa anayatoa huko English Mediums.

Baada ya kufanya " intelligence analysis" nika uelewa .mkakati wa dada angu. Nikaona una mashiko. I was like kwanini niende China kununua bidhaa ambayo naweza kuipata kariakoo?( usiende china) mbona hata Mimi mwenyewe nilisoma shule ya kiswahili na nilitoka vizuri ( miaka ya tisini karibu nchi nzima tulikuwa tunasoma shule za kiswahili, za kiingereza zilikuwa za kuhesabu so " vuguvugu" la English Mediums halikuwaga kihivyo.

So nikawatoa watoto wangu wawili English Medium nikawapeleka Kayumba. Kisha nikawawekea mwalimu wa kiingereza ambae anafundisha shule za English Medium na anawafundisha kwa kutumia vifaa na vitabu vya English Medium.

Watoto wanaendelea kufanya vizuri darasani. Kiingereza wanaongea na kuandika vizuri sana kwa sababu vitu vyote vya kwenye somo la KIINGEREZA wanavyo fundishwa wenzao kwenye shule za English Medium wanavipata kwa mwalimu wa Tuition.

Nimeondokana na stress za kulipa mamilioni kila baada ya miezi mitatu ili tu watoto wangu wajifunze kiingereza yes I mean it shule za English Mediums are technically vituo vya English course.

SO NATANGAZA FURSA ZA KUJIONGEZEA KIPATO KWA WALIMU WA ENGLISH MEDIUMS, WA KIINGEREZA, WALIMU WALIOPO VYUONI 'WANAFUNZI WA VYUO" KWENYE VYUO MBALIMBALI NCHINI, ambao wanataka KUJIONGEZEA kipato kwa kufundisha tuition ya somo la kiingereza kwa watoto wanao soma shule za kayumba kwa makubaliano kati yako na mzazi wa mwanafunzi husika, fanya kama.ifuatavyo.

Comment maelezo yako hapo kwenye comment section ukisema kata unapoishi na namba zako za simu ili kama kuna mzazi yupo kwenye kata hiyo na yupo interested basi akutafute.

Unaweza KUJIONGEZEA nafasi ya kupata wazazi wengi kama utajielezea sifa zako na uzoefu wako katika kufundisha somo la kiingereza.

Kama unaona tatizo kuandika namba zako za simu hapa unaweza kukoment kata unayopatikana kisha ukaalika watu pm. Kazi kwako and God bless.
0629791787, Wilaya Ilala, Kata Kimanga.

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom