Mtumwa wa kweli
Member
- Feb 11, 2011
- 71
- 6
- Thread starter
- #21
I'm an expressed english teacher.0766407100
nitakuchek mkuu.
I'm an expressed english teacher.0766407100
asalaaaam wanajf, ninafanya project yangu ya kurekodi vipindi vya masomo kwa ajili ya kufundishia kwa njia ya mtandao, hivyo basi nahitaji watu wenye uwezo mzuri wa kufundisha, wenye uelewa mpana wa kufundisha na wenye uwezo mzuri wa kujieleza kwa ufasaha. Masomo yote ya sekondari na shule ya msingi na pia nawakaribisha wanaojua kufundisha lugha kama kifaransa, kingereza n.k. Karibuni tufanye majadiliano.
mi na uwezo wakufundisha hisabati msingi na sec pia na uwezo wa ziada kufundisha uchumi.namba zangu ni 0653663399
Hii Idea Ni Nzuri Sana Mkuu.Keep Going.. Ukipelea Mtu wa Economics nichek pia..
economics,accounting,bkeepng na commerce niko vizuri
mcheck huyu jamaa simple guy but very fit in physics,chemistry, and physics.(pcb) mm alinifundisha o-level na nilifanya vizuri kwenye pcb,so jaribu kuwasiliana naye,ni mtu simple sana u just call him 0688982416
Good idea nimeipenda, ningekuwa mwizi ningekuibia
For book keeping or accounts five years experience check na huyu kiumbe ni mzuri mno through jmmandala87@gmail.com
Kwa kiswahili, English na History niko vizuri sana. utanicheki tufanye kazi kwa 0718257680