Wenye diploma wanaula!! Wapo wachache tofauti na kazi zinazohitaji degree ambazo ushindani ni mkubwa kupita maelezo

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,407
19,053
Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy

Kimbembe kipo kwenye degree huku, ni shoida!! kuna rundo la vijana wengi mno wanaomaliza form 6 kila mwaka kuingia degree ukiongezea na wale wanaotoka diploma kwenda degree.

Ajira za diploma wanaweza ku apply watu elf 8 lakini hizi ajira za degree hata watu laki 8 wana apply

Wacha diploma wale zabibu zao aisee
 
Waliofeli form four wengi hawanaga mawazo ya kujiendeleza diploma bali wachache tu ndio wenye uthubutu,hii inapelekea watu wanaojiunga na diploma kuwa wachache hapa nchini.

Hata hivyo kwa tathmini yangu ndogo inaniambia k2qmba wanaojjiunga na diploma vyuoni ni wachache kuliko wanaojiunga na degree(hii ni tathmini yangu tu).

Hii inafanya wenye diploma kuwa na idadi tofauti na wenye degree.
 
Hio ni kwako labda, siku hizi wadogo zetu wengi tu wakitoka form 4 na divion 1, sisi kaka zao tuliopitia vyuoni tunawakazia wasome vyuoni ili kuanza taaluma zao mapema, haya mambo ya kumaliza form 6 hujawai kwemda hata field training, cheti hakikupi ajira, unaingia chuoni mambo kibao mapya, n.k hatutaki wapitie wadogo zetu
 
Actualy wanaoenda diploma sikuizi wana mpaka div 1 form 4. Sio mpaka mtu afeli. Ni suala la chaguo tu
 
Wengi wanaenda form five then six halafu degree kutokana na hali ya uchumi .. umaskini si unajua kule yupo heslb

Sio wote wanaweza somesha chuo diploma kutokana na gharama

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Amini nakwambia, form 4 wengi huwaambii kitu kuhusu kwenda kusomea form 5 badala ya chuo, na sababu huwa ni za kitoto sana kwamba wenzake wengi wameenda advance (peer pressure) 😂😂 na kuaminishana
uongo kwamba chuoni wanaoenda ni waliokosa credit za kuaonga form 4,

Mtu anaenda shule advance ada ni milioni 2.7+ wakati chuo kwenye faida nyingi ni milioni 1.3, yeye anakazania mambo ya advance.

Nadhani kwenda advance iwe kwa ambao wana changamoto za kiuchumi tutaelewa ila hawa wengine wenye uwezo hapana kwakweli
 
Kuna mdau mmoja hapo juu akaelezea kuwa ni peer pressure. Ishu nyingine ni kuwa wanapenda chuo wengi wanakuwa na credit kidogo so kijana anaonekana akienda huko ataonekana ni kilaza. So anakomaa apitie advance.
Kuna kijana wa mamdogo nilimshauri kuwa aende chuo baada ya kuwa amemaliza olevo akapata 3.+++ Afu akatokea Ilboru nikajua huyu hakuna kitu advance ni pagumu kinyama.
Kijana akakomaa akatoka na zero advance hawezi jipeleka chuo diploma Mana wazazi wake Hali ni mbaya.akawa ameishia hapohapo
 
Mi nazani yote sawa tu MTU kama amefaulu kwenda advance na ana nia,anaenda tu na km hana nia basi analiga diploma,lkn ukweli n kwamba advance nako nikugumu ndo mana wengine wanatoka na zero,

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ishu ni kwamba huko form 6 unapata faida ipi??

Mtu wa chuoni cheti chake cha diploma kinampa ajira hata hizi za tra huku yule aliesomea form six cheti chake hakitumiki kweye ajira.

Mtu alieenda kusomea dip anafundishwa na maprofesa / masters wenye ufaulu mkubwa tu ila anaeenda advance aafundishwa na dip / degree wenye ufaulu hata wa gpa za ajabu ajabu.

Mtu alieenda chuo akiingia degree pamoja na wenzake waliosoma advance, yeye anafanya marudio ya masomo mengi hku wale wa form 6 ni wapya karibu masomo 90%.

niishe hapa, advantage ni nyingi sana
 
Kuna mdau mmoja hapo juu akaelezea kuwa ni peer pressure. Ishu nyingine ni kuwa wanapenda chuo wengi wanakuwa na credit kidogo so kijana anaonekana akienda huko ataonekana ni kilaza. So anakomaa apitie advance.
Kuna kijana wa mamdogo nilimshauri kuwa aende chuo baada ya kuwa amemaliza olevo akapata 3.+++ Afu akatokea Ilboru nikajua huyu hakuna kitu advance ni pagumu kinyama.
Kijana akakomaa akatoka na zero advance hawezi jipeleka chuo diploma Mana wazazi wake Hali ni mbaya.akawa ameishia hapohapo
wengi bado wanakuwa hawajapevuka akili za maisha halisi, wanafata mikumbo tu
 
Mm nilichagua kwenda diploma, pamoja na ufaulu, mzuri wa kwenda advance PCM! Nikiwa semester ya mwisho mwezi wa tano, nilishapata Ajira tiyari! Nimemaliza project yangu moja kwa moja nikaenda kuanza kazi! Wakati huo tuliomaliza nao form four ndo wanakuja kuanza mwaka 1 degree!
Saiv hata nilishaoa degree hiyo nitaisoma bila pressure yoyote
 
Endelea kujidanganya mkuu....!! Vijana wa Dip bado ni wengi mtaaani na kaz hawana
 
Hio ni kwako labda, siku hizi wadogo zetu wengi tu wakitoka form 4 na divion 1, sisi kaka zao tuliopitia vyuoni tunawakazia wasome vyuoni ili kuanza taaluma zao mapema, haya mambo ya kumaliza form 6 hujawai kwemda hata field training, cheti hakikupi ajira, unaingia chuoni mambo kibao mapya, n.k hatutaki wapitie wadogo zetu
Sure ukitaka kujua diploma ina nguvu uliza dit, madogo wanakula maisha hatari,
 
Endelea kujidanganya mkuu....!! Vijana wa Dip bado ni wengi mtaaani na kaz hawana

Na pia wengi hawana uelewa jinsi ya kuomba kazi sekretariet they need someone to guide them wanakosea wanajikuta hawapo shortlisted,wengine hata hawafaham kama kuna kazi hua zinatangazwa inapaswa waombe kwenye mfumo,huku wengine wakiwa hawajisumbui kabisa kuomba kazi wanamalengo ya kusoma degree ndio habari za kazi zifuate.ndio mana idadi ya waombaji diploma hua ni chache ukilinganisha na degree
 
Waliofeli form four wengi hawanaga mawazo ya kujiendeleza diploma bali wachache tu ndio wenye uthubutu,hii inapelekea watu wanaojiunga na diploma kuwa wachache hapa nchini.
Nilichogundua sio kuwa na mawazo wala uthubutu bali kukosa ufahamu...

Wengi niliopata kukutana nao, huku wakiwa na mawazo ya ku-reseat, ukiwapa idea ya kusoma certificate, kwao inakuwa ni taarifa ngeni!!

Kutokana na kuzungukwa na watu wasio na uelewa, majority wanadhani grades zako zisipokuwezesha kusonga mbele, basi the only option ya kujiendeleza ni ku-reseat!!

Mimi mwenyewe sitasahau siku naripoti chuoni, nikawa nasoma majina ya wanafunzi tuliochaguliwa na majina yale yali-include qualifications za watu walizoingilia!!

I was surprised kuona jina la Binti aliyesoma Kibasila Form IV, na baada ya hapo akaenda kusoma certificate, diploma, na kisha tukakutana chuo!!!

By the time, sikufahamu kwamba iliwezekana mtu anavurunda Form IV, but few years later nae anajiunga chuo kikuu sawa na wale waliopata Div I Form IV aliyovurunda yeye!!!
 
Inasemekana ukiwa umesema una degree ajiraportal lakin pia ulipitia njia ya Diploma kuipata Degree, ikitokea kaz ya Diploma, huwez ukaapply cz system inakutambua ww ni diploma holder.
 
Sure ukitaka kujua diploma ina nguvu uliza dit, madogo wanakula maisha hatari,
Engineering ya Umeme, Civil n.k ktk Diploma DIT, ni ngumu kukaa bila kupata kazi.

Mm ni shuhuda mzuri wa hii ishu ya Engineering DIT.
 
Back
Top Bottom