GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,118
- 110,511
"Mheshimiwa Rais Samia Wewe, Serikali yako pamoja na Chama chako cha CCM mlipaswa mtuombe Radhi Watanzania kwa kutupitisha katika Kipindi kigumu huku Wengine tukiumizwa zaidi. Rai yangu Kwenu CCM ni kwamba kwa miaka ijayo mtakuwa makini Kuteua Mgombea Urais anayefaa" amesema Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa alipokuwa akizungumza leo katika Kilele cha Siku ya Wanawake duniani mbele ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Hassan.
Habari: ITV Tanzania
Tokea afariki tarehe 17 Machi, 2021 mmetumia Nguvu nyingi na Kubwa Kumchafua na Kuonyesha kuwa alikuwa Dikteta kama akina Amini, Bokassa, Salazar na Hitler ila bado hamjaaminika na Watanzania wenye Akili Kubwa kuliko zenu.
Tunajua Mbowe aliagizwa Kusema huu Upuuzi wake leo ili ionekane kama ni Ujumbe wake wakati Ukweli ni kwamba mwenye Dhamana Kuu na Chama na Mstaafu ndiyo wenye Ujumbe huu kwa Wanachama Wao wa Lumumba na Kizota na hapa wanawaambia Kijanja kuwa wahakikishe Mgombea ajaye mwaka 2030 asiwe Mkali kwa Rasilimali za Tanzania na Watanzania bali awe ni Mpole, Fala, Lofa, Zuzu, Mla Rushwa, Mjinga na Mtu wa Kupelekwapelekwa tu Mafisadi na Mafia wa nchi hii.
Hovyo kabisa......!!!!!!