Kwa habari za nadani ya chama kuna uhakika wa Majimbo 30,kati ya majimbo hayo yapo majimbo ya Arusha mjini,Maswa mashariki,Moshi Mjini,Singida Mashariki,Tarime,Ubungo,Sumbawanga Mjini,Bukoba mjini,Busanda,Bukombe,Nyamagana,Iringa mjini,Hai,Njombe Kaskazini,Kigoma kaskazini,Busega,Mbeya Vijijini,Mbulu na Kawe.
Nimetazama vimbwenga vya wenje kupitia TBC1. Umati unatisha! Hakuwa anaomba kura kwa sababu ni wazi kashapata. Alikuwa anahamasisha ulinzi wa kura.
Hivi hadi sasa tuna uhakika wa majimbo mangapi?
P/se !!!!!!!!!!!!!!Karatu since 1995Kwa habari za nadani ya chama kuna uhakika wa Majimbo 30,kati ya majimbo hayo yapo majimbo ya Arusha mjini,Maswa mashariki,Moshi Mjini,Singida Mashariki,Tarime,Ubungo,Sumbawanga Mjini,Bukoba mjini,Busanda,Bukombe,Nyamagana,Iringa mjini,Hai,Njombe Kaskazini,Kigoma kaskazini,Busega,Mbeya Vijijini,Mbulu na Kawe.
Wakibaatika majimbo matano wana bahati.
Kwani kuwa na umati mkubwa kwenye kampeni si kura zile. Mjue wapiga kura ni wachache sana. na mlivyo banwa kura hazipigwi kanisani. Poleni chadema, Pole Slaa
Wakibaatika majimbo matano wana bahati.
Kwani kuwa na umati mkubwa kwenye kampeni si kura zile. Mjue wapiga kura ni wachache sana. na mlivyo banwa kura hazipigwi kanisani. Poleni chadema, Pole Slaa
.Wakibaatika majimbo matano wana bahati.
Kwani kuwa na umati mkubwa kwenye kampeni si kura zile. Mjue wapiga kura ni wachache sana. na mlivyo banwa kura hazipigwi kanisani. Poleni chadema, Pole Slaa