Wengi ya wanaJF wameifanya Jamiiforums ni sehemu ya kujifariji

Huna lolote we mleta mada na we umekuja kupunguza stress zako tu hapa
 
habari zenu wakuu,
wakuu nimefanya ka research kangu nimegundua kuwa, wengi ya wana jf ni watu ambao wana matatizo sana ya kimaisha, kimapenzi(wameachwa, hawana wapenzi wa kuwafariji na hata kubakwa)na mengineyo. Ndio maana wengi wao wameifanya jf kama sehemu ya kujifariji au kupotezea mawazo hasa mmu na chit chat. Muda wote wako humu kuanzia asubuhi mpaka saa tisa usiku.

Wengine humu unashangaa wapo online muda wote kumbe wanabiashara zao au wanajiegesha hasa kina dada( samahani lakini...)

matatizo waliyokuwa nayo yanachangia pia wengi wao kuwa na tabia za ajabu ajabu na kutoa mada za ajabu ajabu mpaka mtu unajiuliza jamaa amefikiria nini mpaka kuleta kitu kama hiki!!!

Dah! Poleni sana wakuu, mungu atawabariki....juma pili njema.

wise man speak
 
Alipo mungu
faraja ipo sio kwamba tuna ubia na vifurushi vya tigo

tinafwata.neema na baraka za.jf
 
alipo mungu
faraja ipo sio kwamba tuna ubia na vifurushi vya tigo

tinafwata.neema na baraka za.jf

man of.god.tb joshua is here spritual
 

Attachments

  • 1410113821154.jpg
    1410113821154.jpg
    60.7 KB · Views: 34
  • 1410113914193.jpg
    1410113914193.jpg
    57 KB · Views: 31
alipo mungu
faraja ipo sio kwamba tuna ubia na vifurushi vya tigo

tinafwata.neema na baraka za.jf

jf is everything
is whr you can meet.god face to face
 

Attachments

  • 1410114025504.jpg
    1410114025504.jpg
    84.6 KB · Views: 38
Annointed plp wako hapa.

Walewanaohisi kuajiri ndugu zao kilaini
kama uhamiaji

mungu wa ajira yuko humu mkuu
 
Ulijuaje kuwa kuna watu wanashinda hadi saa tisa usiku

Yeye si mwenyekiti amesahahu kuwa wana jf wanaingia wakati wowote na ni bussy all the time coz.wanajf wote hawapo bongo wengine wapo nchi ya nje mida inatofautiana ya kuingia
 
Back
Top Bottom