Wema Sepetu: Siwezi kumsapoti Diamond kwenye MTV Awards, nitaonekana ninajipendekeza

Mi sio fan wa Kiba but haya maneno ya wema kila siku kusema kiba alimuomba amuombee kura sio vyema hata kidogo,waliongea privately haikua na haja kufanya matangazo nadhani hata Kiba anaweza kuona utoto wa Wema hafai kifanya nae deal anapenda sana publicity za kixnge xenge,ok poa kiba kaomba amsapoti then apige kimya sio kila siku matangazo ni kupenda sifa za kilofa!

Yule dada akikutendea jambo ulimwengu wote lazima ujue ...
 
Huyu wema ana nyota ya jamvi.....yaan analaliwa na wanaume alaf anaachwa.....ameshapanic hapa mjini watoto wa kike wanafatwa kwa matarumbeta ila yeye anafatwa na nzi
 
Huyu nae pyeeee hicho kipindi lazma amtaje diamond utadhani ndo mdhamini wa kipindi....
afu kwani lazma aseme kama prince alimuomba sapoti teh uswahili huu

Jana pia alinikera kusema tena kuwa Vannesa alimuomba ampost...kwakweli sikuona sababu ya yeye kusema vile..yaani huyu binti hana siri kabisa anapenda sifa sana...
 
Wao wote hamna aliyetulia,na hata kama diamond kusema hamna mpango wa kuoa inawezekana walikuwa hawaelewani hajakurupuka tu

Basi ndo ujue akufukuzae hakwambii toka wala msimseme Wema eti alitishia kujamba mwenzie akaharisha!

Hata kama mtu hajielewi kauli kama ile lazima mtu ikuume!
 
Ila hapo wivu wa lazima,sometimes najiuliza mtu kama mimi ex wangu hatuwasiliani na kama hatujuani na hainiumi coz sioni mambo yake,sasa kwa hawa mastaa how they feel mnagombanishwa,usitake utake utamwona hata kwenye gazeti au tv ,mapenzi siyo kabisa aiseee
 
Jana pia alinikera kusema tena kuwa Vannesa alimuomba ampost...kwakweli sikuona sababu ya yeye kusema vile..yaani huyu binti hana siri kabisa anapenda sifa sana...
Mswahili sana afu anajiona mungu mtu, bila yeye mambo hayaendi shwain zake...waongee pembeni af ye anayaanika hadharani, huyu ni bure kabisa
 
Mi sio fan wa Kiba but haya maneno ya wema kila siku kusema kiba alimuomba amuombee kura sio vyema hata kidogo,waliongea privately haikua na haja kufanya matangazo nadhani hata Kiba anaweza kuona utoto wa Wema hafai kifanya nae deal anapenda sana publicity za kixnge xenge,ok poa kiba kaomba amsapoti then apige kimya sio kila siku matangazo ni kupenda sifa za kilofa!

Kweli lakini, mimi mwenyewe kaniboa, yani anataka aonekane yeye ndo kila kitu xieeww
 
Mama ubaya si alisemaga yeye ni shabiki wa domo na huwa anasikiliza sana muzik wake kwenye gari, sasa kwa nini hasimsapoti? Au ilikuwa unafiki xiewww mbwa kabisa huyo, na akipata ubunge naenda kulipua bunge zima
 
Jana pia alinikera kusema tena kuwa Vannesa alimuomba ampost...kwakweli sikuona sababu ya yeye kusema vile..yaani huyu binti hana siri kabisa anapenda sifa sana...

Ndo alitaka aolewe!
Si mumewe atajamba aje atutangazie khaaaa;!
 
Mama ubaya si alisemaga yeye ni shabiki wa domo na huwa anasikiliza sana muzik wake kwenye gari, sasa kwa nini hasimsapoti? Au ilikuwa unafiki xiewww mbwa kabisa huyo, na akipata ubunge naenda kulipua bunge zima

hahahahaha hilo la ushabiki ni unafiki tu.... hata jokate kwenye my playlist mwezi wa nne tu hapa alisema ni shabiki mkubwa wa mond na ukimwona akaiweka #2 huku my everythng kiba #5 ...... Ila mtv naona kimya hahahaha ma ex hawa wanamatatizo sana, wakati dangote alitoa promo ya leo leo, na alimpongeza kwa deal la china duuuh hatariii
 
Mama ubaya si alisemaga yeye ni shabiki wa domo na huwa anasikiliza sana muzik wake kwenye gari, sasa kwa nini hasimsapoti? Au ilikuwa unafiki xiewww mbwa kabisa huyo, na akipata ubunge naenda kulipua bunge zima
warumi. Umenichekesha et naenda kulipua bunge zima!... Kwenye interview za yy na zamaradi ngachoka mie!. Demu anaonyesha ni jinsi gan anaweweseka na penzi la dangote, ooh mara nilimpenda sana mara nilitaka nimzalie mtoto! Dah anatia huruma sio siri.
 
Last edited by a moderator:
Mama ubaya si alisemaga yeye ni shabiki wa domo na huwa anasikiliza sana muzik wake kwenye gari, sasa kwa nini hasimsapoti? Au ilikuwa unafiki xiewww mbwa kabisa huyo, na akipata ubunge naenda kulipua bunge zima

Hahaaaaaaaaaaaa mkuu naona umechafukwa
 
Back
Top Bottom