Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,122
Amejiaibisha yeye mwenyewe na wala si wanawake wote kwani makalio ameonyesha ya wanawake wote? Si yake tu.Nimeona picha ya Wema katika blog ya Michuzi na movie clip katika blog ya dj fetty kwa kweli nimesikitishwa sana na nilichokiona.....!! maadili yetu watanzania hayaturuhusu kukaa ****** wazi mbele za watu but wema katika tamasha la fiesta Morogoro nguo aliyovaa ilikuwa inapanda kiasi cha kufanya sehemu ya chini ya makalio yake ionekane.....ilim'bidi kila mara awe anaishusha hiyo nguo, najiuliza sasa anaishusha kwa nini kwani alipovaa alitegemea nini? si akae tu hivyo hivyo ili watu wafaidi kuona makalio yake......@$%&^*Wema, UZURI WAKO UTAONEKANA TU HATA UKIVAA NGUO ZA HESHIMA, jiheshimuu! Mama mkwe wako (mamake Diamond) akiona hiyo picha unadhani atakuonaje? .....kiukweli umewaaibisha wanawake wenzio........