Wema Sepetu - Hivi uzuri ni kukaa uchi mbele ya kadamnasi????

Nimeona picha ya Wema katika blog ya Michuzi na movie clip katika blog ya dj fetty kwa kweli nimesikitishwa sana na nilichokiona.....!! maadili yetu watanzania hayaturuhusu kukaa ****** wazi mbele za watu but wema katika tamasha la fiesta Morogoro nguo aliyovaa ilikuwa inapanda kiasi cha kufanya sehemu ya chini ya makalio yake ionekane.....ilim'bidi kila mara awe anaishusha hiyo nguo, najiuliza sasa anaishusha kwa nini kwani alipovaa alitegemea nini? si akae tu hivyo hivyo ili watu wafaidi kuona makalio yake......@$%&^*Wema, UZURI WAKO UTAONEKANA TU HATA UKIVAA NGUO ZA HESHIMA, jiheshimuu! Mama mkwe wako (mamake Diamond) akiona hiyo picha unadhani atakuonaje? .....kiukweli umewaaibisha wanawake wenzio........
Amejiaibisha yeye mwenyewe na wala si wanawake wote kwani makalio ameonyesha ya wanawake wote? Si yake tu.
 
Nimeona picha ya Wema katika blog ya Michuzi na movie clip katika blog ya dj fetty kwa kweli nimesikitishwa sana na nilichokiona.....!! maadili yetu watanzania hayaturuhusu kukaa ****** wazi mbele za watu but wema katika tamasha la fiesta Morogoro nguo aliyovaa ilikuwa inapanda kiasi cha kufanya sehemu ya chini ya makalio yake ionekane.....ilim'bidi kila mara awe anaishusha hiyo nguo, najiuliza sasa anaishusha kwa nini kwani alipovaa alitegemea nini? si akae tu hivyo hivyo ili watu wafaidi kuona makalio yake......@$%&^*

Wema, UZURI WAKO UTAONEKANA TU HATA UKIVAA NGUO ZA HESHIMA, jiheshimuu! Mama mkwe wako (mamake Diamond) akiona hiyo picha unadhani atakuonaje? .....kiukweli umewaaibisha wanawake wenzio........

Hayo maeneo akiyafunika na nguo huwa anawashwa, ndio maana anayaacha wazi.
 
wema hajakosea chochote nyie kwani mkioga mnakuwa mmevaa minguo yenu??????????????????
vijiba vya roho vitawaua

Wewe yaelekea ndo wale wale.... unauliza swali kama **** vile, ***** kweli wewe!! Pale stejini ni bafuni? alikuwa anaoga pale? na kama ni kuoga huwa tunaoga kwenye public?............una elimu gani wewe, yaweza kuwa nalumbana na std 7 leaver hapa..... kama huna ishu sio lazima uandike potezea kuliko kuandika utumbo kama huo
 
What is in somebody's mind is revealed through his or her actions or omissions....you can guess what she is looking after !!
 
siyo wema peke yake, ivi wanenguaji wa bendi hamuwaoni? mamiss hamuwaoni, wasanii wa filamu hamuwaoni, jamani taifa letu limekosa kitengo cha ukemeaji? mimi nawasiwasi na BASATA kuwa wale viongozi watakuwa hawajatulia ndio maana wanapenda wanenguaji wakae uchi, sasa imefikia hatua wanakaa uchi wala hakuna anayekemea,si TAMWA wala TGNP hakuna anayekema udhalilishwaji wa mwanamke unaofanyika kila kukicha, na matokeo yake wamekuwa vinara wa kuzungumzia siasa. wananikera mimi hawa waliojipa dhima hii wanapouza sura kwenye vyombo vya habari na wakati masula nyeti ya kumomonyoka kwa maadili ktk jamii yetu hawaifanyi. kwa ufupi inakera. tunahitaji serikali itoe tamko ili sisi wenyewe wananchi tuwashughulikie
tupe picha.
 
kuna na kina pedejee fulani
hawez kuwa ameishia kwa hao tuu
kunawale wanaogonga ngozi kimyakimya
hawataki maiwaifu zao wajue loool

=Bobsambeke III;2215743]Kekundu kendu wajinga ndio waliwao!!!! Nzega mwambie huyo Diamond....

Mr.Blue,TID,Hartman,Kanumba,Jumbe,chalz baba,Diamond???????? Guess what??????[/QUOTE]
 
Kama wema mnamwita mzuri , demu wangu mkimwona cjui mtamwitaje..bahati yenu hatupendi ku-show off
 
Wana JF kizuri cha jiuza,kibaya chajitembeza! Hayo ni maneno ya wahenga. Mwenzenu Sepeto Wama alikuwa kazini.
 
Nimeona picha ya Wema katika blog ya Michuzi na movie clip katika blog ya dj fetty kwa kweli nimesikitishwa sana na nilichokiona.....!! maadili yetu watanzania hayaturuhusu kukaa ****** wazi mbele za watu but wema katika tamasha la fiesta Morogoro nguo aliyovaa ilikuwa inapanda kiasi cha kufanya sehemu ya chini ya makalio yake ionekane.....ilim'bidi kila mara awe anaishusha hiyo nguo, najiuliza sasa anaishusha kwa nini kwani alipovaa alitegemea nini? si akae tu hivyo hivyo ili watu wafaidi kuona makalio yake......@$%&^*

Wema, UZURI WAKO UTAONEKANA TU HATA UKIVAA NGUO ZA HESHIMA, jiheshimuu! Mama mkwe wako (mamake Diamond) akiona hiyo picha unadhani atakuonaje? .....kiukweli umewaaibisha wanawake wenzio........

mimi naona siku hizi wehu si lazima waokote makopo na huyo UBAYA wala si WEMA ni mwehu aletwe huku milembe maana kakosa staha kama binti, atakae jitolea kumleta asimsahau COOPER wala si DIAMOND maana nae mwehu tu.... wanatia kinyaaa sijui tatizo shule au malezi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom