Hivi una hata chembe ya ufahamu hapa upo jukwaa gani na ni watu gani wapenzi wa jukwaa hili? nadhani bado mpaka leo hujajitambuwa ni kwa nini ulijiunga JF, yaani kwa kifupi upo upo tu.Nilikuwa nafikiri watu wanadanganya kuhusu JF ila sasa nimeamini JF imejaa wahuni wengi sana.
Hahahaaaa aiseekamaind marehem kafa kwa LULU alitaka ye ndio ahusishwe na kifo
Duu JF is never boring, mpaka huzuni zimepotea ghafla. Watu mnajua kufikiri.kavizoea,atarembua kidogo tu then ataendelea na maigizo yake
Jamani amejieleza ITV, aliishiwa pumzi sbb ya watu wengi. So it was real jamani, dada wa watu alizimia.
,,,,,,,,,aaah wapi,Bi DADA kazimia lakini simu yake ya Blackberry kaikamatia mkononi,kwani mtajuaje na ye kama alikuwepo kwenye tukio???
She had learned from the "great" himself.ana attention seeking disorder.... she would do anything for the camera
kwa nini wanaozimia ni wanawake tu?