Wema Sepetu azimia msibani kwa Kanumba!

baada ya kifo cha muigizaji mkubwa katika tasnia ya filamu Bongo, marehemu Steven Charles Kanumba, Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuwahi kuachana na muigizaji huyo.

Akizungumza kwa sauti iliyoambatana na kilio cha kwikwi katika mahojiano maalumu na kituo kimoja cha redio nchini, Wema alisema kuwa ingawa jamii ilikuwa ikifahamu kuwa ameachana naye, ukweli ni kwamba bado walikuwa wapenzi kwa siri.

“Tulikuwa na mapenzi ya siri kati yetu na tulifanya hivyo kwa kuwa kila…
 
Attachments

  • WEMA.jpg
    WEMA.jpg
    46.5 KB · Views: 95

Anataka kuuza gazeti huyo!
 
Punguzeni Roho mbaya..
Roho mbaya for what!! kwa hawa Makahaba!!??.......huna updates kwamba leo kulikuwa na mashindano ya kuzimia pale msibani? una habari Irene Uwoya naye kazimia? kwa taarifa nilizonazo makahaba 50 wamezimia leo kwenye huu msiba. ila bado sina taarifa ni nani kati yao alipatia kuzimia zaidi.

Upande wa wanaume wauza sura wewe hata kama ulikuwa una funguo za gari ili ushike mkokoni ilikuwa ni ruksa kuja na hata na funguo za kabati lako la nguo, alimradi mambo yote ni mwemweremwemwere tu!!
 
mimi nilizimia kabla sjafika kwenye msiba
 
Hata James Ilikuwa Hivi hivivi......lakin nadhani Dandu...(sinta, sijui nani alizimiaa!) Aaaagh! Wote wasukuma!! wote vifo vyao ni ka-ulabu/ mademu/ accident!!!!!!!!!! Vijana wa kisukuma vipi Pombe na.........!!! ( watani zangu)

ndo tatizo la vijana wa kisukuma yaani wakipigwa viuno viwili tu tayari akili zinahama.....hahaaaaa.....
 
Roho mbaya for what!! kwa hawa Makahaba!!??.......huna updates kwamba leo kulikuwa na mashindano ya kuzimia pale msibani? una habari Irene Uwoya naye kazimia? kwa taarifa nilizonazo makahaba 50 wamezimia leo kwenye huu
msiba. ila bado sina taarifa ni nani kati yao alipatia kuzimia zaidi.

Upande wa wanaume wauza sura wewe hata kama ulikuwa una funguo za gari ili ushike mkokoni ilikuwa ni ruksa kuja na hata na funguo za kabati lako la nguo, alimradi mambo yote ni mwemweremwemwere tu!!

Unaweza ukasema wamefanya jambo gani wewe unalolifahamu kwa uhakika mpaka ukawaita makahaba?

Funguo za gari au za kabati tatizo ni la kwako wewe kufikiri kwamba hizo funguo walikuwa
wameshika ili kukuonesha wewe..

Kusema mtu vibaya bila sababu ni Roho Mbaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom