Bongo movie imerudi kwenye ubora wake sasa

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Baada ya marehemu Steven Kanumba kufa Bongo movie ilipoteza mvuto wake. Ikapoteza ubora wake kwasababu ambao walibaki walishindwa kwenda na ubora ule ule marehemu Kanumba alikuwa nao.

Ndo kitu ambacho kilipoteza ubora na mvuto wa bongo movie. Baada ya miaka 13+ bila Kanumba ndo ametokea kijana uyu mdogo kabisa Clam Vevo kuja kajaribu. Kuendeleza ubora ule ule Kanumba alikuwa nao.

Kuna kipindi pia Nigeria nao walipoteza ubora wao Baada ya kizazi kile cha akina Ramsay kupotea ambao walitokea hawakuwa na ubora wowote Nigeria movie zikapoteza mvuto.

Wakatokea vijana wawili ambao kwasasa wana peperusha vizuri bendera ya Nigeria vizuri kwenye movie. Na vijana ao ni Chidi Dike. Na Tobi Bakare.

Naamini Clam Vevo kwa umaari wake wa kuigiza anaweza kurudisha ubora wa bongo movie

1697207571111.jpeg

 
CLAM anakitu atafika mbali, hii movie yake ya Snake Boy nimeielewa zaidi
 
Akina Steve Nyerere wameirudisha kwa kasi ya 6G zaidi ya awali, hivi sasa wako mabegani mwa mama kwa mtindo wa Roving Bongo Lice.


Fahrenholzia_pinnata.JPG
 
Baada ya marehemu Steven kanumba kufa Bongo movie ilipoteza mvuto wake
Ikapoteza ubora wake kwasababu ambao walibaki walishindwa kwenda na ubora ule ule marehemu kanumba alikuwa nao
Ndo kitu ambacho kilipoteza ubora na mvuto wa bongo movie..
ok sawa
 
Movie zake zipi kali mpaka useme amerithi mikoba ya Steven Kanumba

Kuna Best friend
Kuna bilionea
Kuna snake boy
Hizi ndo ameanza nazo

Yupo vizuri saana zamani ilikuwa vigumu bongo movie kupata watazamaji wengi kwenye mtandao wa YouTube for right Now anapata zaidi ya watazamaji laki 2 per day
 
Back
Top Bottom