Wema, diamond... Hakuna ndoa

Tatizo la dogo anaona huo umaarafu kafika kweli anaona kila dem maarufu ni halali yake ivo kamtumia wema na sasa radha ishakwisha atujui who is next?ila anatakiwa kujua umaarufu ukiisha madem nao watamtema kama anavyowatema na hata wale wa uwanja wa fisi nao watamtoza pesa kwa tendo moja.
 
Mtoto wa kimanyema, mfupa uliomshinda fisi, mbwa atauweza kweli? Well,kwa upande mwingine Diamond bado hajakomaa kiakili. Ukiona madoido yake mitaani tu unajua ndo wale wale...nahisi tatizo hapo ni kuingia kwenye public na personal issues. Nyie superstars mnakazi kweli... Mnataka kufanana na Richard Burton na Elizabeth Taylor kwa vituko vya kimapenzi.
 
Nimjuavyo wema ana akili sana...namshauri aende kuchukua degree kwani akili hizo kichwani zipo ili asonge mbele hao wanaume wote waliopita maishani mwake atakuja kuona vituko tu.....ila mdogo wangu wema kigeugeu no moja kwenye maisha yako ni mamako alikunyima malezi anayoona bora ukiwa kabinti sasa anakudhalilisha kila mwanaume unaemchagua anajifanya ana mkosoa hadharani na ht mashost zako ana wasema wanakuharibu wkt y ndio alivyokulea!mama wema kigeu geu!wema nenda chuo mama wewe kichwa nakuamini....ule wimbo mpya wa diamond umekuhusu kwa mapenzi bahati huna achana nayo!
 
bhaas m2 anipe contact za wema ukisema cha nn cye twakipata vp eh teh teh
just kautani Diamond kachemka kuhamua right choice/amuzi at wrong time bhana
 
Wote wapuuzi. Wema alikuwa anaona raha kukizungusha kidude chake.
 
Acheni udaku, hii habari ipo kwenye magezeti ya rangirangi (udaku), Kwa mtazamo wangu ni kuwa magazeti haya daima yamekuwa yakimchafua Wema....
 
Kwa kweli mmempa hadhi asiyostahili maana JF ni home of great thinkers na yeye hana hadhi hiyo na mimi pia nina mashaka kama huwa anafika mpaka huku. Si vema kuwapandisha chati walevi wanaovalishana pete baada ya moja moto moja baridi kulala pamoja, na kesho yake kila mmoja anashika ustaarabu wake!
 
Wema anahitaji counseling ya nguvu ili aweze kusimama kama mwanamke,! Yawezekana amekata tamaa kiasi kwamba anajiona ako na mkosi na pia inaonesha wazazi wamemchoka so she is alone, na still ni mdogo sana compared to mambo anayopitia na asipopata ushauri na comfort ataelekea kubaya zaidi. Akiji2liza atapata mume mwema mbona? KUZALIWA MWANAMKE NI CHALENGE KWA KWELI....!!
 
Kuna kitu bado najiuliza... Mama Diamond kuongozana na kijana wake kwenye vilabu vya usiku.. Je ni utaratibu wetu wa Ki-afrika? Je hii inaweza changia kutomjenga Diamond kuwa Baba? Hapo sijajiuliza kama mama ameshajengeka na tabia za kiswazi?

Huyu Diamond kuita magazeti..ina maana anafuata maamuzi yake kupitia magazeti? kama anaamini kwa upumbavu wake ya kuwa yeye ni Bongo Celebrity kwa nini asijifunze ma-celebrity wa kweli hawafanyi maamuzi kupitia habari za magazeti? Kwa nini asijiulize kuwa kuna siku atafulia na Magazeti yatamgeuka na kumtupa kwani hauziki tena..

By the way... Hii issue ya Diamond tunaiongelea ili kujifunza sisi wenyewe tujitafakari kama tunayowafanyia wapenzi wetu ni mazuri... Inawezekana Wema alishajijua makosa yake na sasa akataka abadilike.. Sema amelamba garasa... Sad!
 
haya mapete ya kuvalishana maclub mmelewa haya? loh alimvalisha kimjinimjini na kamuacha kimjinimjini
You have nailed it bebiii

jamaa bange limepandisha mzuka mdada kaingia jela... watu wakampa za kijelajela, sasa majuto mjukuu, watu weshavua mkanda, vua viatu, chukua waleti na simu na saa kwenye bahasha mtoto hamuoni mdhamini

ILA YULE DAD NI MSANII KULIKO DOGO

I SAW HER WITH MY VERY OWN EYES A DAY BEFORE NA ILE JUMAMOSI WATU WAKISHIKASHIKA NYARAKA LIVE
 

Ngoma ikilia sana ujue inakaribia kupasuka na lisemwalo lipo kama halipo, basi li njiani laja! Hatimaye Wema Isaac Sepetu na Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond’, wamemwagana rasmi

Ilikuwa ni Jumanne, saa mbili usiku, Diamond ‘Platinum’ aliita vyombo vya habari katika Hoteli ya Lion Sinza jijini Dar es Salaam na kufunguka:

“Washikaji, nimewaita hapa nifunguke mbele yenu kuwa nimemmwaga rasmi yule demu (Wema) kwa sababu hapatani na mama yangu (Sandra Sammy).

“Kwanza Wema amekuwa akinilazimisha nitengane na mama yangu, yaani nimrudishe kule Tandale tulipokuwa tukiishi mwanzo , halafu mimi na yeye tuishi Sinza (Madukani), jambo ambalo sipo tayari kulifanya.

TUKIO ZIMA LA KUPIGANA CHINI LIPO HAPA << WEMA NA DIAMONDI WAACHANA>>

 
Back
Top Bottom