Welcome William John Malecela!

Status
Not open for further replies.
mkuu naona kipele kinakuwasha wakati pilipili iko shamba!

Kipele kipo kwenye kichwa, unataka kunisaidia kukitumbua nini!?? Natanguliza shukrani...LOL

Hukuulizwa kuwa WJM ni nina......acha kujishahua!!!
 
yhst-20539724291135_2046_1049606


- Hapa na wanafunzi wa shule ya msingi ya Nala, mkoani Dodoma ambayo nimekuwa nikiifadhili kwa muda mrefru sana sasa, ipo maili 12 kutoka Dodoma mjini ukiwa unelekea Singida.

Kama nasikia usingizi vile!!!, hapana!! naona naota mbio za 2010 zimeanzia JF.Kila la heri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom