Welcome William John Malecela!

Status
Not open for further replies.
Kwa kuwa Bwana William amekuwa huru kujitambulisha kwa mapana, kabla sijamkaribisha naomba ni mtoto wa mke yupi wa mzee?
 
Acha kutetemekea jina mkuu, sasa hapa kwenye thread hii unajadiliana nini, unajadili picha ya jamaa na Kikwete, Mbowe, Anna au John, au watoto wa shule?

Kama majina yanatetemekewa basi hayo ni mawazo yako binafsi na uwezo wako wa kufikiri. Hunijui sikujui. Kama huna cha kujadili well and good kuna threads nyingi tu zinahitaji wachangiaji. Kwaaaheeriiii!!!!!
 
William,

Karibu sana ndugu.

Nyani,

Na mimi naomba bisi pamoja na ndizi! Mwaka huu tutaona mengi.
 
Wakuu kwa kweli mmekwend mbali na kuvunja kanuni za jukwaa kwa kuanza kuwataja members hapa kitu ambacho si sahihi.
Huyu ni member mpya na hakuna anayeweza kututhibitishia kwamba huyu ndiye efumesi au sijui nani. Nina hakika huyu ni member mpya ambaye amekuwa akisoma michango ya jf na kuifurahia kiasi kwamba ameona ajiunge nasi hapa.
Hata kama kweli ni yeye yule member ambaye aliaga kuondoka na kupumzika kama member wa jf na kwamba karudi tena kwa identity nyingine, si vizuri kumuweka wazi. Hii si sawa, hamumtendei haki member mpya na mnamtia woga kuchangia michango moto katika jukwaa hili.
Tumpe nafasi kama member mpya alifurahie jukwaa.
Karibu bwana William. Mimi nimekufahamu kwa siku nyingi. Kuna mahala tulikutana na ku discuss sana issues za nchi hii. Wewe ulionekana mtu mwenye uelewa mzuri wa siasa na shida za nchi hii. Bila shaka spirit yako aija change na utakuwa msaada mkubwa hapa jamvini.
Lakini pia usijali kwani hapa kuna wanachama wa vyama vyote na wasio wanachama wa chama chochote. Usijali. Sisi na hasa mimi niko against na watu si parties tu lakini watu wenye nia mbaya na nchi hii yetu tuliyopewa wote na Mungu huku wakiifanya kama property yao. Nina hasira nao na usione ajabu na mimi nikamzaba mmoja nondo kwa hasira niliyo nayo.
Karibu.
 
Du damu nzito kuliko maji!ilikuwa mtu akigusa familia ya malecela moto wake ulikuwa hauzimiki!kumbe alikuwa ndo Jr mwenyewe!Karibu sana WJM!
 
mkuu painkiller kama wewe ndiye unayenyofoa post basi toa na thanks zangu 2 mkuu.moja nilimpa mkuu yoyo na nyingine mkuu masanilo.naomba utoe mkuu manake najaza thanks wakati posts zenyewe nizotoa thanks hazipo
shukrani mkuu!!
 
karibu sana wjm tulitetee taifa
letu ambalo ishara zote zinaonyesha
liko njia panda
 
Sheria ni msumeno, threads zote zitakazokuwa nje ya standards za JF zitashughukiwa kwa mujibu taratibu tulizozikubali wakati tunajiunga hapa.
 
Sheria ni msumeno, threads zote zitakazokuwa nje ya standards za JF zitashughukiwa kwa mujibu taratibu tulizozikubali wakati tunajiunga hapa.

Mkuu na wewe ni MoD!! Uonezi mtupu, kuna watu hupost upupu lakini wanaogopwa! anyway tutafika tu!:rolleyes::rolleyes:
 
Painkiller is on bad mood leo naona!! get some panadol and plenty of water you will be fine hahahahaha
 
Mkuu na wewe ni MoD!! Uonezi mtupu, kuna watu hupost upupu lakini wanaogopwa! anyway tutafika tu!:rolleyes::rolleyes:

Una roll eyez mtoto wa kiume!!??LOL....kazi kweli!

Karibu mukulu W. J. Malecele.....wasiopenda wakasage vyupa halafu wavinywe!! Karibu sana......
 
Mkuu Masanilo,

Vichwa vinaweka kumbukumbu sana humu. Unakumbuka ile posting ndefu ya cupcake wake NN?

Hahaha mkuu kumbu kumbu za JF kuwa makini mazee, watu wengi hupiga fix usinisome hapa ukajua ndivyo nilivyo! Ohhh yeah nakumbuka NN na Kelly01
 
Ndugu zangu wana-JF,

- Where liberty is, basi huko ndiko kuna my country, na those who would give up essential liberty kwa ajili tu ya ku-purchase a little temporary safety, basi they deserve neither liberty nor safety.

- Ahsanteni wana-JF kwa ukaribisho mzito sana na ukarimu mkubwa sana kupitia demokrasia na liberty, demokrasia ni very expensive commodity lakini ni bora kuwa nayo kwa gharama zozote zile kama vile ninavyoona hapa JF, kuliko kutokuwa nayo kabisa kama Zimbabwe.

- Nimeshakaribia na wakati mufaka nitaanza kuchangia taifa letu ambalo pia ni langu kama wananchi wengine wote kwenye mijadala mbali mbali humu ndani.

Mungu Aibariki Tanzania na Wanachama Wote wa JF.

William.
 
Last edited:
Hahaha mkuu kumbu kumbu za JF kuwa makini mazee, watu wengi hupiga fix usinisome hapa ukajua ndivyo nilivyo! Ohhh yeah nakumbuka NN na Kelly01

Sawia, ile ya NN na Kelly01.

Sasa unajua sometimes ukipiga fix matokeo yake inakuwa kama ile stori ya yule jamaa aliyetakiwa kupeleka mkojo wake hospitali na akaamua kuwa mjanja badala yake akapeleka mkojo wa mkewe aliyekuwa mjazito. Matokeo yake jamaa kaletewa majiibu ana mimba ya miezi mitatu akaanza kupandisha.

Sasa chukua stand kama ni kulia au kushoto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom