Welcome William John Malecela!

Status
Not open for further replies.
Sawia, ile ya NN na Kelly01.

Sasa unajua sometimes ukipiga fix matokeo yake inakuwa kama ile stori ya yule jamaa aliyetakiwa kupeleka mkojo wake hospitali na akaamua kuwa mjanja badala yake akapeleka mkojo wa mkewe aliyekuwa mjazito. Matokeo yake jamaa kaletewa majiibu ana mimba ya miezi mitatu akaanza kupandisha.

Sasa chukua stand kama ni kulia au kushoto.

That was a good one....
 
Ndugu zangu wana-JF,

- Where liberty is, basi huko ndiko kuna my country, na those who would give up essential liberty kwa ajili tu ya ku-purchase a little temporary safety, basi they deserve neither liberty nor safety.

- Ahsanteni wana-JF kwa ukaribisho mzito sana na ukarimu mkubwa sana kupitia demokrasia na liberty, demokrasia ni very expensive commodity lakini ni bora kuwa nayo kwa gharama zozote zile kama vile ninavyoona hapa JF, kuliko kutokuwa nayo kabisa kama Zimbabwe.

- Nimeshakaribia na wakati mufaka nitaanza kuchangia taifa letu ambalo pia ni langu kama wananchi wengine wote kwenye mijadala mbali mbali humu ndani.

Mungu Aibariki Tanzania na Wanachama Wote wa JF.

William.

Huitaji kwenda kozi ya ujasusi ili kujua kwamba hizi ni SAUTI ZA UMEME
Mzee si ungebadili style kidogo?
 
- Naomba niwashukuru wananchi wote ambao tayari wameshawasiliana na mimi katika muda mchache tu uliopita toka nijitambulishe rasmi hapa ukumbini, kwa hayo machache naomba sasa nielekee kwenye kuchambua mijadala mbali mbali humu ndani.

Ahsanteni Sana Wananchi wote mlioshiriki katika mjdala huu kwa mapokezi mazito sana, ila sitaurudia tena huu mjadala kwa sababu taifa linatuhitaji kwenye mijadala muhimu zaidi.

William.
 
Huitaji kwenda kozi ya ujasusi ili kujua kwamba hizi ni SAUTI ZA UMEME
Mzee si ungebadili style kidogo?

p53 Mzee wewe ni transcription factor unakuwa encoded na TP53 gene. p53 is important in multicellular organisms, where it regulates the cell cycle and thus functions as a tumor suppressor that is involved in preventing cancer. Tuachane na hawa wanajifanya hatuwashtukia....sitaji jina painkiller atafuta!
 
hahaha!mkuu masanilo ndiyo kazi yangu kubwa hiyo
p53 aka the guardian of the genome aka cancer foe aka cardiovascular friend
wanajifanya kutuzuga wakati tushawashtukia,bwa ha ha haha ha!
 
Huitaji kwenda kozi ya ujasusi ili kujua kwamba hizi ni SAUTI ZA UMEME
Mzee si ungebadili style kidogo?

Please curb your compulsion to unnecessary member-name linkage disclosures. Have a good day !
 
hahaha!mkuu masanilo ndiyo kazi yangu kubwa hiyo
p53 aka the guardian of the genome aka cancer foe aka cardiovascular friend
wanajifanya kutuzuga wakati tushawashtukia,bwa ha ha haha ha!

Mkuu nimefurahia sana posts zako leo, ulikomaa ile mbaya.....haya bwana "master watchman," angalia external factors zisije kumutate hiyo TP53, ukaanza kutotua ulinzi kwenye genome....teh teh teh teh....tunaweza ongea lugha moja!
 
nimeshaziona mkuu sasa itabidi nitumie mechanisms zote mbili kujihami!tukishindwa repairing mpaka ya kutumia GADD45 basi tuta activate apoptosis inducing genes bax/IGF-BP3 zifanye mambo!tehe tehe tehe!!
 
El Chapo,

Kwani kisa cha wewe kusema WJM ni sawa na SZU sababu zake ni zipi?! au unajiona wewe unajua sana!? kuna mtu kakuuliza juu ya kwamba WJM ndio nani? acha mautoto........

mkuu naona kipele kinakuwasha wakati pilipili iko shamba!
 
No, your comment is a suggestion, if not confirmation, that name linkages have been disclosed, you being privy to all names and pseudo names linkages.

Whatever you semantically deem correct. Have a good day !
 
Whatever you semantically deem correct.

Raw nerves touched there, nha? Don't be so petulant Mr. "whatever" Painkiller. That's unbecoming a moderator.

I have got no time for petty arguments. Have a nice day !

The "whatever" thing was petty! Shouldn't had time for that either. Quit throwing petty huffs Mr. Moderator.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom