EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,093
Yaani nimeishi kwa matatizo makubwa sana weekend hii maana simu zangu zote ziligoma kufanya kazi, sijui kama ilikuwa ni huko mitaa ya kwangu tu au kote! Ki modem changu nacho kikagoma kufanya kazi, nahisi nimewapa wakati mgumu sana baadhi ya watu........nisameheni bure lakini naombeni kwa heshima na taadhima muwalaumu Airtel na Vodacom kwa kuniweka nje ya mawasiliano...