Wee nitonye..!!

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,014
957
Kajivalentine hako kanajongea,naona shamlashamla zimepanda moto!!
Kwanza kabda ya yote nataka kujua jinsia ya huyu kiumbe wakuitwa NITONYE!!sijui dume hili??sijui jike hili??Lakini kwa mipasho yake litakuwa jike hili.
Nataka kutoka na wewe Nitonye siku ya VAL-DAY,naomba ukubali ombi langu.
Ahsante,
Mimi mtiifu wako Mr.mzumbe.
 
mbona jinsia ya Nitty haijawahi kuwa kontrovesho hata siku moja?
Au unataka umkontovesi wewe?

Afu weye mbona Mr.
Na kamerun bado haramu TZ?

Anyway, try this at home
haramu zote tamu
 
Kongosho unanikimbia eeeee?Mx
 
Tatizo lenu mnataka mpaka mtu avue ndio mjue, kwa kifupi mimi ni mwanaume rijali sawa. Usijaribu kupita mbele yangu huwa ninazoa sijalishi awe mwanamke au mwanaume tutajua mbele kwa mbele huko.
 
weye tsunami eeeh
wakumba vyote.

Yangu macho, sitii neno hapa.
Tatizo lenu mnataka mpaka mtu avue ndio mjue, kwa kifupi mimi ni mwanaume rijali sawa. Usijaribu kupita mbele yangu huwa ninazoa sijalishi awe mwanamke au mwanaume tutajua mbele kwa mbele huko.
 
Ila sishangai maana ulisha mzimia hata Invisible
Achana nae bana, huyu anatafuta umaarufu kwa staili ya kuchafua majina ya wenzie!

Mwandiko wako tu unaonyesha kuwa wewe ni mwanaume tena wa shoka! Asikuzingue, usiharibu siku yako dakika za majeruhi. Mpotezee kabisa!
 
Tatizo lenu mnataka mpaka mtu avue ndio mjue, kwa kifupi mimi ni mwanaume rijali sawa. Usijaribu kupita mbele yangu huwa ninazoa sijalishi awe mwanamke au mwanaume tutajua mbele kwa mbele huko.

someone is in trouble! Loh atajuuuta!
 
Kaaazi Kweeeli Kweeeli.

Minjemba inataka itoane siku ya valentine.

Kiama kime karibia. Asalaleeeeeee !!!!!!!!!
 
Tatizo lenu mnataka mpaka mtu avue ndio mjue, kwa kifupi mimi ni mwanaume rijali sawa. Usijaribu kupita mbele yangu huwa ninazoa sijalishi awe mwanamke au mwanaume tutajua mbele kwa mbele huko.

Samahani ndugu,kumbe we "M"!!siunajua jf hakuna picha wala nini!!punguza mipasho wewe,mimi nilikuwa na jua wewe ni binti wa kitanga au zanziber!!kumbe nimeingia chuo cha MASHETANI..!!
Je na huyo mwenzio Mpwa wako "REJAO" nae ni MKE AU MME??yaani ni Bi.Rejao au Bw.Rejao??
 
Achana nae bana, huyu anatafuta umaarufu kwa staili ya kuchafua majina ya wenzie!

Mwandiko wako tu unaonyesha kuwa wewe ni mwanaume tena wa shoka! Asikuzingue, usiharibu siku yako dakika za majeruhi. Mpotezee kabisa!

Sasa nilichokosea mimi nini??ok,basi naomba kutoka na wewe.
Nikubalie mwenzio,nipo tayari kukupa hata roho yangu.
 
Samahani ndugu,kumbe we "M"!!siunajua jf hakuna picha wala nini!!punguza mipasho wewe,mimi nilikuwa na jua wewe ni binti wa kitanga au zanziber!!kumbe nimeingia chuo cha MASHETANI..!!
Je na huyo mwenzio Mpwa wako "REJAO" nae ni MKE AU MME??yaani ni Bi.Rejao au Bw.Rejao??
dah!Mx
 
Kabla yakukurupuka public ni bora unge m-PM kwanza kujua jinsia yake, sio ishu kuchafuana nyakati za ulalo hzi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom